Polisi yamwachia Dk. Shika baada ya kujidhamini mwenyewe

Polisi yamwachia Dk. Shika baada ya kujidhamini mwenyewe

Unajua mtu kama Dr Shika inawezekana kiasilia ni mtu aliyepaswa kuwa maarufu na uwezo ....ikifika muda ikapendeza ...Mungu anakufungua tu ....huyu jamaa akifungua tu akaunti Instagram na kupata watu wa kujua namna ya kumtumia ....tayari anatoboa ....
 
Unajua mtu kama Dr Shika inawezekana kiasilia ni mtu aliyepaswa kuwa maarufu na uwezo ....ikifika muda ikapendeza ...Mungu anakufungua tu ....huyu jamaa akifungua tu akaunti Instagram na kupata watu wa kujua namna ya kumtumia ....tayari anatoboa ....
Clauds wazee wa fursa wanaweza kumchangamkia haraka huyu Jamaa.
 
dk+pic.jpg
 
Kwa kweli Kamanda mambosasa unaubinadamu Sana umemwonea huruma hyu Mzee mungu atakuongezea hekima na busara Kama mfalme Suleiman miaka 900ukiishi naona itapendeza zaid. Umenifurahisha Sana unaroho tofauti kabisa. Hongera sna mambosasa
Hakuna huruma bali ni aibu na ndio maana hawakumfungulia kesi maana hana kesi.

Hakuna sehemu aliyotamka atawapa million 900, bali alisema 900 itapendeza zaidi hata mahakamani angeshinda mapema sana kwani 900 inaweza kuwa ni Unit, Kg, km, au centigrade. Na hakufafanua kama ni million au ni kati ya hivyo hapo juu

Wameona aibu sababu mnada waliendesha kienyeji sana kama wauza nguo. Mahakama inafuatilia neno kwa neno
 
Hata mie nimeona kuna fundisho hapa kwa upande wa jamaa wapiga mnada..pamoja na kwamba amevuruga mnada lakini kuna funzo (kimsingi faida) ya kuboresha zaidi hasa wanapopiga mnada mali za mamilioni ya fedha achilia mbali hivi vitu vyetu kama makochi na Tv set
Mimi binafsi simlaumu huyu DR,Hata ukiangali video clip unaona kabisa ule mnada uluvyokuwa ukiendeshwa utadhani wanapiga mnada makochi au vitu vya ndani ilikuwa kama maigizo vile,hafu inatiashaka ni kivipi walishindwa kumbaini yule mzee kwasababu nilivyoangalia hiyo clip moja kwa moja niliona mapungufu ya yule DR wa Urusi.
Ninawasiwasi na wale wapiga mnada kama wana uzoefu na kazi yao,hasa yule Dada.
 
Mara imetokea Paap Dr. Shika kapewa bonge shavu, mtaona jinsi ndugu zake wanavyoibuka na kujifanya kumjali. Kuna watu watamfungashia Senene na sato na kumletea toka huko kanda ya ziwa.

Watanzania wanafiki sana. Ndiyo walijitokeza kwa wingi kumzika yule mbakaji pale kinondoni makaburini huku wakiongozwa na rais na baraza lake la mawaziri, na serikali mzima huku kale kabint kalikokua kakibakwa kakiwa ndani nyuma ya nondo za mahabusu
Ingependeza sana angepelekwa mahakamani ashinde kesi na kuchukuwa hizo nyumba!!
Au magu aagize jamaa apewe iyo nyumba moja kwa mia 900 ili tuweke kumbu kumbu sawa!!
 
Kesi ilitokea huko polisi, walikula hizo fedha pamoja na huyo lugumi wanajua jins ya kutupiga changa la macho, doc. Shija mbuzi wa kafara
 
Back
Top Bottom