Nimefedheheshwa na kitendo cha kiongozi wa juu wa jeshi la polisi kutangaza nia zao za ubunge kwa tiketi ya CCM.
Tibaigana, na jana nikachoka kusikia kamanda wa trafiki Kombe.
Hivi hawa walijiunga na chama lini au walikuwa na rangi ya kijani mfukoni? Muda waliostaafu awajapata uzoefu wa siasa hizo.
source: Kamanda Kombe kuwania ubunge Vunjo
Hawa wezi na mafisadi wakubwa hutashangaa kuwa wamerudi serikalini kwa mlango wa ubunge. Wasipewe nafasi hizi kabisa maana tunafahamu walivyokuwa si waaminifu wakiwa kazini.
Hold on, Msharika anachosema ni kweli. Ingawa sheria haiwazuii wafanyakazi kugombea lakini inawakataza kuwa members wa vyama. The questions begins here, inakuwaje wanaacha kazi lakini kwenye maelezo yake anaonyesha alikuwa active member wa chama kwa miaka yote tangu uhuru? Hapa ndipo nadhani maswali mazito yanapoanzia. Issue ni kwamba pamoja na sheria tukigundua kuwa mfanyakazi anayebanwa na sheria za vyama akigundulika alikuwa kada wa chama akiwa kazini what next? otherwise sheria hiyo haina maana ni bora waachwe kwenda mbele kwa mbele kila mtu awe member wa chama cha siasa Tanzania.
Huwa si wana-CCm wanapokuwa kazini, bali kwa vile wamekuwa wakitumikia sera za chama kinachotawala kwa miaka nenda rudi, then automatically wanakuwa kama wanachama.
.1.Hivi wakuu,sheria inasemaje kuhusu watumishi wa serikali na shughuli za kisiasa....Je wanaruhusiwa kuwa wanachama wa vyama vyovyote pasipo kujishughulisha moja kwa moja na siasa(kuwa active katika shughuli za kisiasa?) ama wanakatazwa(hawaruhusiwi kuwa wanachama wa vyama vyovyote vya siasa)......Pasco popote ulipo naomba uje hapa uniweke sawa hapa(please)
2.Nini maana ya Kada(cadre)?
Nashukuru sana mkuu........Hope hii itasaidia kupunguza lawama na tuhuma zisizo na msingi dhidi ya watanzania hawa(waaliokuwa watumishi wa serikali) walioamua kuitumia haki yao ya kikatiba kwa kugombea uwakilishi bungeni.
Balantanda, Wajeshi, Polisi, Wanausalama na Waserikali, hawaruhusiwi kujishughulisha na siasa wakiwa katika nyadhifa zao, ila haki zingine zote zakiraia wanazo kama raia wengine wowote ikiwemo haki ya kuwa wanachama wa vyama vya siasa ila wasishabikie siasa, hivyo hizi taarifa za mjeshi fulani, polisi fulani au mserikali fulani kuwa kada wa chama akiwa kwenye utumishi wa umma, morally its wrong ila practically ndio watu wa kupongezwa na kupewa ulaji zaidi na zaidi kwa vile ni makada wa chama tawala.
The deviding line kwenye conflict of interest btn their political affiliation and duty of care is very thin, ndio maana Mahita, Ex-Darasa la 8 akiwa RPC Moshi, alimvurumishia mabomu Mrema bila huruma, akaonekana amefanya kazi mzuri, akapewa U IGP, hata kwa kumwangalia tuu machoni, utatambua wazi, thinking capacity yake ni sero flani kama kina Makamba type.
Sasa hawa wakuu baada ya kustaafu utumishi wa umma, wanahaki kushiriki shughuli za kisiasa kama raia wengine, ndio maana uliwaona kina Maj.Gen. Jesse Makundi, ulimsikia Mboma, Afande Tibaigana etc, ni haki yao.
Nimefedheheshwa na kitendo cha kiongozi wa juu wa jeshi la polisi kutangaza nia zao za ubunge kwa tiketi ya CCM.
Tibaigana, na jana nikachoka kusikia kamanda wa trafiki Kombe.
Hivi hawa walijiunga na chama lini au walikuwa na rangi ya kijani mfukoni? Muda waliostaafu awajapata uzoefu wa siasa hizo.
source: Kamanda Kombe kuwania ubunge Vunjo
.Binafsi ningewapiga marufuku majaji, maafisa wa jeshi kuanzia vyeo vya Kanali na Mrakibu Mwandamizi kugombea nafasi ya kisiasa ndani ya miaka mitano baada ya kutoka katika nafasi yao jeshini.
Kamanda Kombe kuwania ubunge Vunjo
.................. wananchi walimtaka awania ubunge kwa kuamini uwezo wake pamoja na kuwa yeye ni kada wa siku nyingi wa CCM.
.