Milonji
Senior Member
- May 26, 2022
- 153
- 494
Habari za muda huu..
Hili ni swali tu na nina amini wajuvi wa Mambo ya Polisi watanisaidia Mimi na Wengine pia. Lengo langu ni kuelimishana na siyo kulichafua Jeshi la Polisi.
Mara nyingi ninajiuliza kama Jeshi letu la Polisi lina Maadili ya Kutosha hasa nyakati hizi za utandawazi.
Mfano,
1. Unamkuta Askari yupo LINDO tena Sehemu nyeti kama Bank wa Kiongozi lakini muda mwingi anabofya Simu. Je haya ni Maadili ya Jeshi letu?
2. Askari wa barabarani tena akiwa Kazini yupo bize na kubofya Simu badala ya kuangalia usalama wa Vyombo vya moto na watembea kwa Miguu barabarani. Je haya ni Maadili ya Jeshi letu?
3. Askari Polisi kushirikiana na Raia kukusanya mapato yasiyo halali kwa manufaa yake binafsi. Je haya ni Maadili ya Jeshi letu?
4. Askari Polisi kuficha Namba yake ili tusimtambue anapofanya makosa. Je haya ni Maadili ya Jeshi letu?
5. (Ongeza)
Wenye ufahamu na Maadili ya Jeshi la Polisi tafadhali naombeni mnijuze
Nawasilisha.