Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,320
- 105,727
Chokochoko nchi yenyewe Changanyika.Chokochoko
Chokochoko nchi yenyewe Changanyika.Chokochoko
Ingieni barabarani tutaona alieozaa ubongoUmeoza ubongo
Tamaa ilimponza fisiOfisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali.
Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko halali ukoje? Vipi haki ya kikatiba ya kukusanyika?
Mama Samia haya mambo Yana baraka zako? Unahisi yatakusaidia "kusimamisha" uchumi?
Huoni kuwa haya matendo yataharibu taswira yako kimataifa?
Umeshasahu mara hii madhara ya chuki za kisiasa zilizopitiliza nyakati za ugonjwa mpaka msiba?
===
View attachment 1857971
View attachment 1857966
Jiwe aliachiwa akajenga nchi matokeo yake ndio haya, amekufa ghafla huku akiacha uchumi ukiporomoka mpaka asilimia nneMikusanyiko baadae mwacheni ajenge nchi
With due respect mkuu, natamani sana kusikia maoni yako kuhusu awamu ya sita hasa baada ya siku 100 kuwa zimeshapitaChanga la macho hilo kaka wanaotafutwa ni CHADEMA.. Hao ni safisha njia tuu
Tunaye dictator mwenye maumbile ya kike sijui anaitwa dictress au nani…?Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali.
Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko halali ukoje? Vipi haki ya kikatiba ya kukusanyika?
Mama Samia haya mambo Yana baraka zako? Unahisi yatakusaidia "kusimamisha" uchumi?
Huoni kuwa haya matendo yataharibu taswira yako kimataifa?
Umeshasahu mara hii madhara ya chuki za kisiasa zilizopitiliza nyakati za ugonjwa mpaka msiba?
===
View attachment 1857971
View attachment 1857966
Tunaye dictator mwenye maumbile ya kike sijui anaitwa dictress au nani…?