Simple tu kafanyiwa vipimo na mawasiliano yamefuatiliwa.Polisi wamerahisisha sana hili zoezi! Unathibitisha vipi hicho kifo, pasipo kumhoji Mama Mchungaji?
Kwa hiyo hapa ndio mwisho wa uchunguzi na jalada limefungwaKupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha Kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awAli.
Kamanda anasema ni kweli siku Moja kabla ya kifo Cha katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano nae na asimtumie sms za mapenzi . Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.
Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini Bado wanaendelea na uchunguzi.
View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
Pia soma: IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha Kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awAli.
Kamanda anasema ni kweli siku Moja kabla ya kifo Cha katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano nae na asimtumie sms za mapenzi . Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.
Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini Bado wanaendelea na uchunguzi.
View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
Pia soma:IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi
Hiyo ni lugha tu ya funika kombe mwanaharamu apiteUchunguzi unaendelea wamesema
Mwanamke bora ni Mama yako tu mzazi naye ni kwa kuwa huwezi fatilia mambo yake-ila ukija kupewa story anakuwa hana tofauti na wanawake wengine. Wanawake tuishi nao tu kwa lengo la kuendelea kuwaleta watu duniani.Mwamba alikua anajiona Tanzania nzima yeye ndio kaoa mwanamke bora.
"Msukuma wangu Msukuma wangu"
Ameshamsamehe mbona na yupo kwenye mfungo na waumini kwa siku TanoKwa hiyo huyu mke wa masanja ataendelea kuishi na masanja kwa hali hii? Hapa labda masanja ajitoe ufahamu na kuinesha dunia kuwa ana uvumilivu na anasamehe kwa upendo mkubwa.