Polisi waogopa nguvu ya Umma, waruhusu Mkutano wa ndani wa CHADEMA

Ndugai ana siku chache Sana tena Sana za kuendelea kuliona jua...
Hakuna haja ya kuhangaika nae
Haha hah haha haha .
Lema alimtabiria mauti JIWE leo hatunae tena japo kwa muda wa miaka 5

Sasa na wewe unamtabiria huyu Dikteta wa Bungeni Pia?

Huu ubashiri Nauogopa sana.

Ukithibiti kuwa kweli , nitasema neno moja tuu '' ALlhu Akbar''
 
Upuuzi wa tambo kama zako ndizo zinafanya polisi waamue kuwapa vibondo. Hivi ungekaa kimya ungepungukiwa na nini? Acheni Chadema utoto
 
Tumewaachia BAWACHA wamsimange Ndugai hadi alegee! Yaani wamsimange tu akilala akiamka akili yake inawajadili BAWACHA!
Na pia wasimwache Tulia mwanamke mwongo asiye na aibu hata chembe. Ndio maana hanenepi kama wanawake wa kinyakyusa.
 
... ikasikika ngurumo kutoka mbinguni; mfano wa ngurumo ya radi kuu ya kuogofya ikisema "nimeibariki na nitaibariki tena". Wote waliosikia wakaanguka kifudifudi!
Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu.
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
 
Next ni Ndugai! Atawatoa Covid-19 kwa aibu sana. Haki itashinda dhuluma. Ni suala la uvumilivu na muda tu
The hopeless speaker is trying to get out of the shit without turnishing his image but options are none.
 
Hizo kauli ndizo huwaponza. Eti wameogopa. Polisi piga hao hakuna namna. Msimjaribu SSH
Samia siyo sehemu ya hao wajinga. Rais Samia, mtu mstaarabu wa karne hii na ijayo, siyo hao primitive police.
 
Back
Top Bottom