CHADEMA inategemea nguvu ya Umma lakini Mdude anaamini kwenye nguvu ya Mtu. Nadhani Mdude yuko sahihi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Kwa namna Mwalimu Nyerere alivyoitengeneza Tanzania kamwe huwezi kuipata Nguvu ya Umma na kwa maana hiyo Chadema wanajidanganya kwa makusudi kabisa

Kila nikimsikiliza Mdude namuona kama Mtu anayeamini katika Nguvu ya Mtu, na ndivyo walivyo Mashujaa Wote Akina Magufuli, Trump, Osama nk

Huwezi kukomalia Nguvu ya Umma halafu Wewe unakaa nyuma kabisa kama mchunga Mbuzi

Mungu wa mbinguni atutie Nuru!
 
Pumzika kidogo.. CHADEMA is there to stay na Mdude anafahamu vema nguvu ya taasisi hivyo usimlishe maneno
 
hahaaaa chadema wanategemea nguvu ya watui ambao kazi yao nikusikiliza kila upande na kuacha hapohapo
 
Back
Top Bottom