Polisi wanawahujumu CCM na Serikali yake?

Polisi wanawahujumu CCM na Serikali yake?

wao wanatii amri wakipinga watakufa njaa kwa kufukuzwa kazi.
ila ukiongea nao hawa wa chini ambao ndio watendaji wanatulaumu sisi wananchi ndio tunawaangusha kwani wanakosa pa kuanzia wao hawawezi bila sie kuanza
Kuna mmoja nilikutana kwenye chombo fulani cha usafiri , sio basi, ikatokea tukawa tuna chat socially akaanza kuniambia issue za Jecha baada ya kufanya mapinduzi matukufu ya kura za wananchi 2015.

Akakiri kwamba ni kweli wanafanya tu katika kutimiza viapo vyao ila mioyo yao inawauma kwa wanayoambiwa wayafanye.
 
Huyu RPC wa Mbeya amesha kuwa babu. Nakumbuka hata IGP alishwa mwambia hastahili tena kuendela kuwa RPC arudi Makao Makuu awaache vijana site.

Sijui ana ngangania nini kuendelea kuwa RPC kwa style za kizamani.. Sasa amesha mpaisha Sugu..
Umenena mkuu
 
Kuna mmoja nilikutana kwenye chombo fulani cha usafiri , sio basi, ikatokea tukawa tuna chat socially akaanza kuniambia issue za Jecha na mahali alipopelekwa Jecha baada ya kufanya mapinduzi matukufu ya kura za wananchi 2015.

Akakiri kwamba ni kweli wanafanya tu katika kutimiza viapo vyao ila mioyo yao inawauma kwa wanayoambiwa wayafanye.
Huu ni uongo na unadanganya kwasababu unajua chanzo cha hiyo uongo wako si sahihi. Jecha alipelekwa wapi wakati hakuwa na kosa lolote! Unaspin
 
Kuna mmoja nilikutana kwenye chombo fulani cha usafiri , sio basi, ikatokea tukawa tuna chat socially akaanza kuniambia issue za Jecha na mahali alipopelekwa Jecha baada ya kufanya mapinduzi matukufu ya kura za wananchi 2015.

Akakiri kwamba ni kweli wanafanya tu katika kutimiza viapo vyao ila mioyo yao inawauma kwa wanayoambiwa wayafanye.
yes mfumo wa jeshi la polisi umejengwa kwenye misingi ya mifumo ya kikomunisti yaani kulinda chama na sio kulinda nchi thus ni jukumu lao kutii maagizo toka juu.
Mifumo ya polisi wa Malawi ni sawa na ya nchi zilizoendelea ya polisi kutii maagizo ya sheria na katiba na sio kutii magizo ya chama
 
Ukitafakari kwa makini si kwamba polisi wanaipenda ccm Bali wanafarakanisha watz na ccm kwa kuwashughulikia wapinzani ili lawama zote ziende kwa CCM. Mfano check hili la Mbeya Ackson Tulia alienda na msururu wa wasindikizaji kuchukua fomu but Sugu wamemzuia eti anafanya maandamano, hizi Ni kupandikiza chuki ili watz waichukie ccm na serikali yao
Wewe ni Muongo sana. Tena uongo wako ni wakizembe mno. Tulia hajapitishwa na CCM na hakuna mgombea aliyepitishwa lini Tulia ameenda NEC KUCHUKUA FORM? Kwanini usipumzishe vidole vyako kwenye jambo usilolijua?
 
yes mfumo wa jeshi la polisi umejengwa kwenye misingi ya mifumo ya kikomunisti yaani kulinda chama na sio kulinda nchi thus ni jukumu lao kutii maagizo toka juu.
Mifumo ya polisi wa Malawi ni sawa na ya nchi zilizoendelea ya polisi kutii maagizo ya sheria na katiba na sio kutii magizo ya chama
Kukosea polisi mbeya usihalalishe kwa jeshi letu lote acha uongo.
 
Wewe ni Muongo sana. Tena uongo wako ni wakizembe mno. Tulia hajapitishwa na CCM na hakuna mgombea aliyepitishwa lini Tulia ameenda NEC KUCHUKUA FORM? Kwanini usipumzishe vidole vyako kwenye jambo usilolijua?
mara ngapi amekuwa akiambatana na lundo la wafuasi wake huku polisi wakivaa miwani
 
Madhara ya polisi darasa la saba, huyu askari ni hovyo kabisa

Screenshot_20200814-205226_YouTube.jpg
 
Hapo Hai leo mataga wawili wamekwenda na maji kiutani-tani ,
huu mzaha wanaoleta CCM na polisi unaweza kuliingiza taifa kwenye mambo ambayo hayafai hata kusema hapa.
 
RPC ni kada wa CHADEMA siku nyingi anatumika kumwangamiza Tulia na CCM
 
Magufuli ndio habari ya Mjini amewacha Wagonjwa wangaike...Akiwasha Moto wataisomba namba maana si kwa Maendeleo aliyotufanyia Tanzania hii
 
Polisi na Sugu Kama walikuwa wamepewa sini ya kuigiza na Movie Director maana wameleta utoto sana
 
Habarini za Tarehe 14 hii ya leo wapendwa?.

Kwa namna Jeshi la Polisi limetenda kumkamata Joseph Mbilinyi kule mbeya Katika mazingira ambayo wala hayakuhitajika kumkamata mgombea huyo wa ubunge aliyeenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge baada Ya kupitishwa na chama chake

Mitazamo kadhaa kinzani imenijia kichwani pangu na kuona nishirikiane nanyi kutafuta walau suluhu ya maono

Ninajiuliza na naomba tujiulize, je palikuwa na ulazima gani wa polisi kumkamata Sugu aliyeonekana kuwaingiza mkenge mbele ya Camera za waandishi?

Je, hivi hawa polisi hawakumsikia amiri jeshi mkuu JPM alipowahakikishia watanzania uchaguzi huru na haki na kuvitaka vyombo kutokutumia nguvu kubwa isiyo na sababu?

Je, Polisi hawa wa mbeya hawakuwaona wenzao wa Dar walivyomsindikiza Tundu Lissu kwa amani na utulivu kutoka amewasili uwanja wa ndege hadi makao makuu ya chama chake?. Nani kamtuma huyu polisi kumkamata Sugu?. Ni sirro au Chalamila?.

Hivi hawa polisi huku mikoani hawafahamu kuwa pindi tu wanapomkamata mwanasiasa hasa wa upinzani wao polisi huondolewa kwenye tuhuma na badala yake tuhuma hupelekwa CCM na kwa Magufuli hata kama hawajawatuma kufanya hivyo walivyofanya?.

Je, hizi tetesi zinazosemekana kuwa pana mashirikiano ya kimkakati baina ya polisi wa baadhi ya mikoa kama Mbeya, Songwe, Tabora, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha na kwengineko yanayowataka polisi hao kuwakamata na kuwapiga mabomu viongozi wa upinzani matukio ambayo wapinzani hao huyatumia kisiasa. Tuuamini ukweli huu

Hivi kama si Polisi kumkamata Sugu leo, nani angejua kuwa Sugu amechukua fomu ya ubunge leo?.

Mbona tumeona baba Mchungaji Msigwa amechukua fomu na hakuna aliyehangaika nae na habari yake ikaishia kwenye makundi tu ya Whatsapp za Chadema?.

Mbona tumemuona meya wa Ubungo mstaafu kachukua fomua c yeye na bodaboda alizokodi tu wenzake na habari kuishia kwenye makundi ya Whatsapp ya chama chao tu?.

Nawaona polisi wakimkwamisha Magufuli kwa kukubali kucheza ama kuchezeshwa michezo ya chadema muda mchache ujao.
Siasa za chadema bwana kwa hiyo jamaa kajikamata
 
Back
Top Bottom