Polisi wanawahujumu CCM na Serikali yake?

Polisi wanawahujumu CCM na Serikali yake?

Sugu...!! Alafu wewe kichaa ujaachaga tu matukio yako ya janjajanja tu Mara umechoma Moto of za Kanda Mara msafara wenu mnauvamia wenyewe. Acheni kujitekenya nyie.
Na hu mchezo wanaufanya yeye na lema
IMG-20200814-WA0087.jpg
 
MPZ WA MUNGU ana roho mbaya sana coz huwezi shindana mbio huku mpinzani wako umemfunga miguu
 
Tatizo la Mbeya ni jinsi ya ubebwaji wa yule MAZA wa uspika inakuwa ntiani nkubwa.. ....

CCM inatia huruma mida mingine!!...tuwe wakweli.
CCM ni kama kahaba mzee, pamoja na kuwa mzoefu wa siku nyingi lakini anakuwa amepoteza mvuto hata na "ladha" pia.
Nadhani nimeeleweka
 
CCM ni kama kahaba mzee, pamoja na kuwa mzoefu wa siku nyingi lakini anakuwa amepoteza mvuto hata na "ladha" pia.
Nadhani nimeeleweka
Ndiyo tunaongoza Serikali. Kwahiyo unawezaje kuongozwa na Kahaba na wewe usiwe kahaba? Ndege wanaofanana ndiyo huruka pamoja, bundi unataka nini kwenye kundi la njiwa?
 
Ukitafakari kwa makini si kwamba polisi wanaipenda ccm Bali wanafarakanisha watz na ccm kwa kuwashughulikia wapinzani ili lawama zote ziende kwa CCM. Mfano check hili la Mbeya Ackson Tulia alienda na msururu wa wasindikizaji kuchukua fomu but Sugu wamemzuia eti anafanya maandamano, hizi Ni kupandikiza chuki ili watz waichukie ccm na serikali yao
Police wa Belarus wanavua na kuzitupilia mbali sare za jeshi la polisi baada ya kuchoka kutetea ujinga wa serikali iliyopo madarakani, hawa wa kwetu sijui watapata wokovu.
 
MPZ WA MUNGU ana roho mbaya sana coz huwezi shindana mbio huku mpinzani wako umemfunga miguu
Huyu mama mnambebesha msalaba ambao sio wake na kwa hi move ya sugu ni mkakati ambao sugu mwenye aliupanga na huyo afande aliyemkamata.
Kwa wale wanaomjua sugu ebu tujikumbushe kule bungeni anavyo wapaga shida mapolisi.
Sasa chakushanga sugu anapelekwa kwenye kalandinga Kama mwali wa kizaramu.
Sisi tunaomjua sugu tunajua kabisa hi move kaicheza mwenye yani wajuzi wa mambo wanasema kujitekenya mwenyewe alafu Anataka tucheke sisi.
 
Police wa Belarus wanavua na kuzitupilia mbali sare za jeshi la polisi baada ya kuchoka kutetea ujinga wa serikali iliyopo madarakani, hawa wa kwetu sijui watapata wokovu.
Hu mpango wa polisi wa mbeya na sugu unakwenda kulichafua jeshi zima la polisi.
Na kwa Nini mapolisi mbeya wanaingia matatizoni hivi kamanda siro halioni hili??
Jeshi lake linachafuka
 
Wanawaza kumuweka ndani Hadi muda wa kuchukua fomu uishe,ili Bibi kiloboto apitw bila kupingwa,huo ni mpango ulioandaliwa kutoka kwa Ndugai mdogo.
 
Wanawaza kumuweka ndani Hadi muda wa kuchukua fomu uishe,ili Bibi kiloboto apitw bila kupingwa,huo ni mpango ulioandaliwa kutoka kwa Ndugai mdogo.
Wewe shika adabu yako. Tutashindana majukwaani mitaani na tutawapiga kwenye box la kura
 
Police wa Belarus wanavua na kuzitupilia mbali sare za jeshi la polisi baada ya kuchoka kutetea ujinga wa serikali iliyopo madarakani, hawa wa kwetu sijui watapata wokovu.
wao wanatii amri wakipinga watakufa njaa kwa kufukuzwa kazi.
ila ukiongea nao hawa wa chini ambao ndio watendaji wanatulaumu sisi wananchi ndio tunawaangusha kwani wanakosa pa kuanzia wao hawawezi bila sie kuanza
 
Sidhani kama wanaweza pewa maelekezo ya hivyo
 
Back
Top Bottom