Polisi wamsaka ...

Kabisa Mkuu wao ni baadhi ya Watanzania wanaopigika sana lakini bado wanakubali kutumika katika kubaka demokrasi nchini kunakofanywa na hii Serikali dhalimu.

Wao wanaona haiwahusu, lkn kumbe ndugu zao wana umia
 
Kamwe huwezi kutawala nchi hivi halafu utegemee mafanikio kwenye utawala wako.

Kitaani milio ya risasi, tunafukuzana na defenda utafikiri waasi, hawatulindi sisi hawana love hawako peace wanazidi kuichafua democracy
 
Baada ya kuishiwa majipu ya kutumbua, na baada ya utumbuaji huo kutokuonesha impact kwenye maisha ya kawaida (hali ya maisha imezidi kuwa ngumu kuliko hata kabla ya utumbuaji) na kwa sababu hawana majibu ya kero za watanzania ambazo nyingine wamezitengeneza wenyewe bila sababu ( refer la sukari), imewabidi na imewalazimu kuhakikisha wakosoaji wote wananyamazishwa wasije kuuanika uchi wa mfalme! Hii serikali imeonesha uoga uliopitiliza! Wanajihami hata kwa viyu vidogovidogo visivyokuwa na msingi!
 
Watu ambao wamejikita zaidi kwenye democracy wakati wanatakiwa wajikite zaidi kwenye shida za wananchi za kila siku watakua hawawazi vizuri.
 
Alirudishe tu,tutatengeneza mabulungutu ya kwetu wenyewe.
 
Kamwe huwezi kutatua shida za wananchi kwenye nchi ambayo haina demokrasi . Kumbuka issue ya v.ilaza wa UDOM huo ni mfano mmoja tu na ipo mifano mingi sana.

Watu ambao wamejikita zaidi kwenye democracy wakati wanatakiwa wajikite zaidi kwenye shida za wananchi za kila siku watakua hawawazi vizuri.
 
Ndugu watanzania, naomba mniombee. Nimejitoa mhanga kuwakomboa watu wa hali ya chini ambao naamini ndiyo walionipa kura nyingi. Mimi sikuchaguliwa na matajiri. Mnataka nimtumbue hapa hapa au? Namlipia huyu kijana akapate huduma huko regency. Hivi mlitarajia serikali iendelee kuwalipia na kuwakumbatia hawa va la za ? Haiwezekani kabisa hao wanaowatetea nao ni va li za. Hakuna siasa vyuoni. Nakumbuka hata JK hakuwa hata na kadi ya TANU alipokuwa chuo. MTAJIJU.
 
Reactions: BAK
Hajitambui kabisa huyu hata kauli zake ni za kukurupuka matokeo yake kauli zake zimekuwa za hovyo kupita kiasi.

 
Kuishi kama shetani haitawezekana.
Ndio sababu nimemshauri mtoa kauli hiyo aifute. Hatutaki mashetani wala hatutaki malaika. Tunataka watu waishi kama binadamu na sheria iwe ni msumeno.
 
Inawezekana kabisa akawa na lengo zuri,ila njia anayotumia ni mbaya Sana! Nafikiri tumpe ushauri wa njia za kufanya kazi vizuri kuliko kupo
nda mda wote
 
Bado kumzingira Mungu sasa na yeye akifanya Fyokofyoko anazingirwa. malaika jiandaeni!
 
Reactions: BAK
Tatizo la huyu inaelekea hashauriki, yeye ndiye yeye.

Inawezekana kabisa akawa na lengo zuri,ila njia anayotumia ni mbaya Sana! Nafikiri tumpe ushauri wa njia za kufanya kazi vizuri kuliko kupo
nda mda wote
 
Tatizo mnalaumu idara ya polisi bila kufahamu kuwa polisi wanafanya kazi yao ya kila siku nayo ni kutekeleza maagizo kutoka kwa watawala, nashauri tusiwalaumu polisi wetu bali lawama zote zipelekwe kwa wanaotoa hizi ORDERS. Idara yetu ya Polisi ni nzuri sana sema aina ya wanasiasa tulionao ndio wanawaingiza matatizoni.
 
alafu cha kuchekesha polisi mshahara wao unalipwa na wananchi hao hao wanao wanyanyasa. Kama siyo dharau hiyo.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…