Tuzo za Mo zitaendelea kukosa wakupewa kwa miaka mingi sana ijayo mkuu, utawala bora, haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, uwajibikaji vinazidi kuwa bidhaa adimu sana kwenye hizi nchi zetu.
Hivi kuna mtu ambaye bado anabisha kuwa Magufuli hana tendencies za udikteta?
Mzee Mwanakijiji......anaamini dikteta wa Magufuli ndo kinachotakiwa Tanzania
Jipu la Lugumi limesababisha spidi ya utumbuaji ipungue chezea wenye nchi yao.Saka saka tu ! Majipu yameisha .
Kamata piga risasi wachochezi wote Si MDA wa siasa Ni kazi tuu Na kujenga uchumi
Mkuu BAK nimejiuliza sana nikiwa usingizini. Majeshi yetu hayatakiwi kuwa na upande katika siasa. Lakini Polisi wameamua kuwa sided na ccm. Jee kesho tukiamka JWTZ nao wameamua kuwa na upande kwa Chadema, KMKM na CUF jee tutafika au tutakuwa kama Misri ile ya Mubarak ambayo raia walikuwa wanaandamana wakisindikizwa na vifaru?Mkuu Samaritan hakuna aliye salama, labda kama maovu yote unayoyaona nchini mwetu uyafumbie macho na kuamua kukaa kimya. Kitu ambacho si sawa. Kwanini Watanzania tukae kimya kama tunaona nchi yetu inaharibika? Kwanini tukae kimya kama haturidhiki na uongozi wa nchi na maamuzi yao mbali mbali ambayo yanatuathiri Watanzania? Je, hao wanaotaka kutunyamazisha tusiwakosoe na kukemea maovu mbali mbali nchini wao wana hati miliki ya Tanzania? Jibu ni HAPANA Tanzania ni yetu sote.
Maneno hayo hata kwenye kanga yapoNi hatari, nchi inaelekea kubaya
Mzee Mwanakijiji......anaamini udikteta wa Magufuli ndo kinachotakiwa Tanzania
Mzee Mwanakijiji......anaamini udikteta wa Magufuli ndo kinachotakiwa Tanzania
Hali ni mbaya sanaPolisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????
Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........
Kwa hisani ya Mtatiro
Mzee Mwanakijiji aliamini CCJ kinge make noise 2010....
So there you have it!
Vijana walio maliza shule wajiandae kupata ajiraNi hatari, nchi inaelekea kubaya
faiza foxyHivi kuna mtu ambaye bado anabisha kuwa Magufuli hana tendencies za udikteta?
Mimi nilifikiri njia rahisi ya kuongoza ni kuwapa watu enough space ya kuondoa stress zao zote
maandamano,mikutano....we unawaachia tu
JK alikuwa anaita 'upepo tu utapiita'....
Sasa nashangaa Magufuli halijui hili