Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,501
Ndo hao hao ccm wenyewe.Adui mkubwa namba moja kwetu n wasomi waliosomeshwa na serikali zaman
Ndo hao hao ccm wenyewe.Adui mkubwa namba moja kwetu n wasomi waliosomeshwa na serikali zaman
Ni upofu kuamini kuwa CCM ikitoka madarakani na kuingia chama cha upinzani ndio utakuwa mwarobaini wa matatizo yetu kama nchi. Matatizo ya taifa hili ni zaidi ya CCM, Kunahitajika government restructure kiasi kwamba tuwe na oversight agencies zenye nguvu, tuwe na balance of power iliyokaa vizuri, mihimili isiyoingiliana n.k. Mm naamini hata chama pinzani kikatawala nchi hii kwa mfumo huu wa muundo wa Serikali tulionao na sheria zilizopo bado kitalaumiwa kama wanavolaumiwa CCM.Ccm ni kansa
Afraid of death!? Creep back and hide. In your mama wombs.,kama mliosema CCM ni kansa
basi muda si mrefu itaua
Maana kama ni Kansa haitibiki tena hii ya ccm hata zile stage zote za kansa imevuka iko kwenye stage yake peke yake.
Mkuu,
Tulipokua tunasema tatizo ni mfumo kuna vichwa ngumu awakuelewa kabisaAdui namba MOJA wa maendeleo ya Mtanzania ni CCM na mfumo wake wa utawala
Ccm ni dudumiz la taifa na serkal yake no shida tupuAdui namba MOJA wa maendeleo ya Mtanzania ni CCM na mfumo wake wa utawala
Yaani ni heri ngamia apite kwenye tundu la sindano kuliko wao kupambana na ufisadi...Kuamini kuwa hawa jamaa wako seriuos katika vita ya rushwa na ufisadi ni kujidanganya tu.
mkuu hapa kisu kwenye mfupa kabisa, kwa hali ilivyo ni bora kuchukua mababu zetu huko vijijin wakaja kua viongoz yaan watu wana title za u dr nk lakin wamekua wapuuz kupita maelezo hadi unajiuliza jinsi wanavyojitoa ufaham ni bure kweli au maslai binafsi?Adui mkubwa namba moja kwetu n wasomi waliosomeshwa na serikali zaman
Uko sahihiKuamini kuwa hawa jamaa wako seriuos katika vita ya rushwa na ufisadi ni kujidanganya tu.
Ccm ccm ccmNadhani vijana wa bavicha wameanza conspiracy theories za kitoto. Kutunga na kujifanya ujuaji juaji wa kijinga.
Wewe umejuaje kuwa waliuliza hizo taarifa? Umeambiwa na Max?
Je source ya taarifa zako ni wapi? Umezipataje? Au wewe ni Max?
Tunataka uhuru wa habari lakini sio uongo na uzushi taarifa zisizo na source, lengo la taarifa hizi ni kuleta taharuki ili watu waanze kulaumu wengine.
Acha utoto. Unatakiwa ukue uhuru wa kuongea sio kila ujinga utoao.
Na wewe umejuaje kama huu ni uzushi? na taarifa sahihi ni zipi?Nadhani vijana wa bavicha wameanza conspiracy theories za kitoto. Kutunga na kujifanya ujuaji juaji wa kijinga.
Wewe umejuaje kuwa waliuliza hizo taarifa? Umeambiwa na Max?
Je source ya taarifa zako ni wapi? Umezipataje? Au wewe ni Max?
Tunataka uhuru wa habari lakini sio uongo na uzushi taarifa zisizo na source, lengo la taarifa hizi ni kuleta taharuki ili watu waanze kulaumu wengine.
Acha utoto. Unatakiwa ukue uhuru wa kuongea sio kila ujinga utoao.
inamaana wameshindwa kutumia web inteligence kupata data walizokuwa wanahitaji? haina umuhimu wa kumkamata mmiliki wa jamii forum kwani data wanazozitafuta ni rahisi mno kupatikana just tu kwa kuanalyse username used to post the thread,assocaited email adress, pictures used in the thread and geolocation of the post creator...ilibidi watafute data kimya kimya bila kudisturbe mtu yeyote
Ha ha haaaa! Ama kweli we ni Computer "Kiddy".inamaana wameshindwa kutumia web inteligence kupata data walizokuwa wanahitaji? haina umuhimu wa kumkamata mmiliki wa jamii forum kwani data wanazozitafuta ni rahisi mno kupatikana just tu kwa kuanalyse username used to post the thread,assocaited email adress, pictures used in the thread and geolocation of the post creator...ilibidi watafute data kimya kimya bila kudisturbe mtu yeyote