Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
we kweli boya, namba ya Kova angalia kwenye phonebook ya simu ya mke wako!
Ndo kusema anarekebisha ama?
we kweli boya, namba ya Kova angalia kwenye phonebook ya simu ya mke wako!
Kumbe huishii kuiba simu tu hata wake za watu unaiba? We wakupeleke tu ukanyee debe u-yahaya wako umepitiliza.
we umeshaona wapi mke wa mtu akaibwa.maadam hajabakwa ujue kapenda. mkeo kicheche wacha tujipigie kupoza machungu ya life.
suala ni kwenda shule au kuelimika!? mbona wengi tu wamekwenda shule na hawajaelimika.
suala ni kwenda shule au kuelimika!? mbona wengi tu wamekwenda shule na hawajaelimika.
People who are truly ignorant are not aware of their ignorance
leo mida ya saa nne posta dsm polisi wameendesha kamatakamata. ukionekana umekaa kama huna kazi umedandiwa, mara umevuliwa kofia yaani shida tupu wanachotafuta hakijulikani. nadhani imefika wakati kama hawataki wasio na kazi kuja mjini waseme tu maana watu kibao wamekamatwa na pesa kibao imetoka kama rushwa ya kuwaokoa jamaa. sio kila mtu ana kazi mjini jamani wengine tunakuja kuganga njaa hatuwezi kukaa majumbani tutakufa njaa.
we kweli boya, namba ya Kova angalia kwenye phonebook ya simu ya mke wako!
you f..ckin crazy!? so you think someone can't be ignorant just because he/she can write and speak in English. kumbe kujua hicho kilugha chenu ni dili kiasi hicho. kweli tumeliwa!
ujanja ni mtazamo wako! kataka mwenyewe. ukichekezea "koki" lazima ulowe.
Du poleni sana wakuu, (Machin-gay)we ukiambiwa ulime utalima? au mnataka wengine wapinde migongo kwa jembe la mkono! wazee wamekufa masikini na kilimo chao, ndio maana tunakuja town kuuza leso na kulala ghetto watu nane na hamuwezi kutuzuia.
bora wameona hili, watu wanapata taabu sana hapa mjini, wameona wawasaidie maana wengi hawajielewi, sasa unakuja hapa town halafu unauza maji , unaishi kwa taabu tupu wakati mapori yamejaa ukilima unapata pesa yako na chakula?? Maisha magumu kisa na wewe uonekane upo mjini tu, warudisheni na muwape means ya kulima..mtu unatapeli hadi vocha?? whats that for?? ujinga ukizidi kuna kukumbushana