Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #61
Sina porojo ukweli utatuweka huruAcha porojo sasa......
Sina porojo ukweli utatuweka huruAcha porojo sasa......
Siyo kila habari inapictureTuma picha pls
Badilisha Heading, kusema Polisi wachemka umewadhalilisha!SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi nchini kupiga marufu maandamano na mikutano ya vyama vya siasa nchini, wafuasi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wameandamana.
Maandamano ya CCM yamefanyika jijini Mwanza. Yameanzia katika Kata ya Mahina na kwenda kwenye ofisi za chama hicho zilizopo Barabara ya Nyerere kisha kupokelewa na Idd Mkowa, Katibu wa CCM Wilaya.
Hivi karibuni Jeshi la Polisi nchini lilipiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya siasa kwa kile ilichodai kutokuwepo kwa hali nzuri ya usalama jambo ambalo limeibua mjadala kitaifa.
Hatua ya polisi kuzuia mikutano hiyo ilitokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kufanya mikutano ya hadhara ya kuishtaki serikali kwa wananchi kutokana na kuendesha nchi bila kufuata kanuni na sheria pamoja na kuzuia kuoneshwa matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge.
Hata hivyo, baada ya Chadema kutangaza kufanya oparesheni hiyo iliopewa jina la ‘Okoa Demokrasia Nchini’ Polisi kupitia kwa Kamishna wa Mafunzo wa Polisi, ilizuia kufanyika kwa mikutano hiyo kwa kile ilichodai, hali ya usalama kuwa tete nchini.
Kutokana na zuio hilo, Chadema chini ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, kimekwenda mahakamani kuwashitaki Wakuu wa Polisi wa Wilaya za Geita na Kahama, Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Polisi Makao Makuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).
Pamoja na kuwepo kwa katazo hilo, leo wafuasi wa chama tawala (CCM) wameandamana kwa madai kuwa James Bwire, Diwani wa Kata ya Mahina ambaye pia ni Meya wa Jiji la Mwanza ananyanyaswa pia kutishiwa kuuawa na baadhi ya madiwani na watumishi wa jiji hilo ambao hawakutajwa majina.
Wanachama na wafuasi hao waliandamana wakiwa na mabango huku wakiimba nyimbo za chama hicho. Kwenye maandamano hayo polisi hawakuingilia kati.
Maandamano hayo yaliongozwa na Felician Balukali, Mwenyekiti wa Wazazi Kata ya Mahina na Teleza Chacha, Katibu wa CCM wa kata hiyo.
“Tunataka diwani wetu (James Bwire) awaachie umeya wao abaki kuwa diwani wa kushughulikia matatizo yetu, kwa nini anyanyaswe kama shida ni uongozi wao wabaki nao waendeleo nao,” amesema Chacha.
Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza akizungumza na waandishi wa wanahabari leo amedai kuwa, hana taarifa za tukio hilo na kwamba, polisi hawapo kwa ajili ya kukibeba chama chochote cha siasa licha ya kushindwa kuyazuia maandamano hayo.
Msangi ambaye pia ni Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi (SACP) amesema, ” kwanza hilo tukio silifahamu ndio nasikia kutoka kwenu, nitalifuatilia kwa ukaribu na polisi hatupo kwa ajili ya kukilinda chama chochote kile cha siasa,” amesema.
Mkuu ni kweli <UKWELI SIKU ZOTE UTATUWEKA HURU> Lakini si hiki ulichokileta hapa ambacho hakina kithibitisho chochote zaidi ya maneno uliyoaandika ukiwa CHUMBANI.....TUPIA PICHA ZA HAYO MAANDAMANO unayoita ni ya CCM hapa MWANZA...Sina porojo ukweli utatuweka huru
Uko sahihi mkuu! Coz CCM huwa hawahitaji kupata kibari kuandamana!Habari hii imethibitishwa? Watu wanajua kulaumu bila kuwa na facts hivi ikiwa RPC amejibu kwamba hana taarifa unawezaje kumlaumu bila Ushahidi?
Mkuu hivi chadema walisalimia wakakamatwa?Habari hii imethibitishwa? Watu wanajua kulaumu bila kuwa na facts hivi ikiwa RPC amejibu kwamba hana taarifa unawezaje kumlaumu bila Ushahidi?
Umeangalia chanel Ten Tarifa ya Habari?Mkuu ni kweli <UKWELI SIKU ZOTE UTATUWEKA HURU> Lakini si hiki ulichokileta hapa ambacho hakina kithibitisho chochote zaidi ya maneno uliyoaandika ukiwa CHUMBANI.....TUPIA PICHA ZA HAYO MAANDAMANO unayoita ni ya CCM hapa MWANZA...
Ebu acha kutuona sisi ni MAZUZU kama kweli UZI huu una ukweli hauwezi kukosa PICHA hata siku moja.......Siyo kila habari inapicture
Hata chanel ten wameonyeshaEbu acha kutuona sisi ni MAZUZU kama kweli UZI huu una ukweli hauwezi kukosa PICHA hata siku moja.......
Mkuu uzi wako umeleta saa kumi na mbili jioni na taarifa ya HABARI chanel ten ni saa moja hivyo moja kwa moja wewe ndio primary source kuu ya information humu JF sasa tunategemea uje na full evidance na si kuniuliza nimeangalia taarifa chanel tenUmeangalia chanel Ten Tarifa ya Habari?
mkuu i appreciate your work in JF.Mungu atakulipaWanaoisoma number ni nani baina ya upinzania na ccm?
Naona hapa taarifa za kiintelijensia hakupata....huyu kamanda ni [emoji90] [emoji90] [emoji90]Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza akizungumza na waandishi wa wanahabari leo amedai kuwa, hana taarifa za tukio hilo....
Huyo RPC arejeshwe wizarani aende akasome magazeti maana huu unafiki wake umepitlizaMsangi anajulikana alikotoka hadi hapo alipo....nini accelerator yake kufika hapo inajulikana! Hana lolote awezalo kufanya! Aibu imemjaa hata week bado double standard imemuumbua! Mchumia tumbo number 1 ndani ya jeshi la Polisi!.....Siku si nyingi watagombana na RC wake maana wote wajuaji! Tuone........sham on you RPC
Leo maji yamewafika shingoni,Ccm wanajua kuandamana kwa amani,
Hapo ingekuwa machadema watu wangefanyiwa fujo na kulazimishwa kuandamana