Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,643
- 164,789
Mleta mada umekosea,Polisi hawajachemsa bali wana sababu zao tu.
Waliosalimia watu na kukamatwamaandamano ya kata! we call this peripheral politics. That was ward level butter and bread politics a reasonable policeman could politely ignore.
nia nzuri ni ipi? Kuitakasa ccm kwa ukatili wao? Kama ndivyo basi hata Mh Magufuli hana nia njema!! Mkamateni basi!!Unapotaka kuandamana bila kuwa na nia nzuri lazima utazuiwa tu
Mkuu ungetuaminisha zaidi kwa unayosema hapo juu KWA PICHA....hIzi zinaweza zikawa ni porojo tu unaleta humu ndani ili kutaka kuharalisha VURUGU ZENU zisizokua na kichwa wala miguu......SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi nchini kupiga marufu maandamano na mikutano ya vyama vya siasa nchini, wafuasi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wameandamana.
Maandamano ya CCM yamefanyika jijini Mwanza. Yameanzia katika Kata ya Mahina na kwenda kwenye ofisi za chama hicho zilizopo Barabara ya Nyerere kisha kupokelewa na Idd Mkowa, Katibu wa CCM Wilaya.
Hivi karibuni Jeshi la Polisi nchini lilipiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya siasa kwa kile ilichodai kutokuwepo kwa hali nzuri ya usalama jambo ambalo limeibua mjadala kitaifa.
Hatua ya polisi kuzuia mikutano hiyo ilitokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kufanya mikutano ya hadhara ya kuishtaki serikali kwa wananchi kutokana na kuendesha nchi bila kufuata kanuni na sheria pamoja na kuzuia kuoneshwa matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge.
Hata hivyo, baada ya Chadema kutangaza kufanya oparesheni hiyo iliopewa jina la ‘Okoa Demokrasia Nchini’ Polisi kupitia kwa Kamishna wa Mafunzo wa Polisi, ilizuia kufanyika kwa mikutano hiyo kwa kile ilichodai, hali ya usalama kuwa tete nchini.
Kutokana na zuio hilo, Chadema chini ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, kimekwenda mahakamani kuwashitaki Wakuu wa Polisi wa Wilaya za Geita na Kahama, Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Polisi Makao Makuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).
Pamoja na kuwepo kwa katazo hilo, leo wafuasi wa chama tawala (CCM) wameandamana kwa madai kuwa James Bwire, Diwani wa Kata ya Mahina ambaye pia ni Meya wa Jiji la Mwanza ananyanyaswa pia kutishiwa kuuawa na baadhi ya madiwani na watumishi wa jiji hilo ambao hawakutajwa majina.
Wanachama na wafuasi hao waliandamana wakiwa na mabango huku wakiimba nyimbo za chama hicho. Kwenye maandamano hayo polisi hawakuingilia kati.
Maandamano hayo yaliongozwa na Felician Balukali, Mwenyekiti wa Wazazi Kata ya Mahina na Teleza Chacha, Katibu wa CCM wa kata hiyo.
“Tunataka diwani wetu (James Bwire) awaachie umeya wao abaki kuwa diwani wa kushughulikia matatizo yetu, kwa nini anyanyaswe kama shida ni uongozi wao wabaki nao waendeleo nao,” amesema Chacha.
Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza akizungumza na waandishi wa wanahabari leo amedai kuwa, hana taarifa za tukio hilo na kwamba, polisi hawapo kwa ajili ya kukibeba chama chochote cha siasa licha ya kushindwa kuyazuia maandamano hayo.
Msangi ambaye pia ni Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi (SACP) amesema, ” kwanza hilo tukio silifahamu ndio nasikia kutoka kwenu, nitalifuatilia kwa ukaribu na polisi hatupo kwa ajili ya kukilinda chama chochote kile cha siasa,” amesema.
Intelijensia ya polisi chuwa haioni mikutano wala maandamano ya ccmSIKU chache baada ya Jeshi la Polisi nchini kupiga marufu maandamano na mikutano ya vyama vya siasa nchini, wafuasi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wameandamana.

Kwahiyo nyie ndio sungura wakivunja sheria nakitazamwa? Mnajua mnawafundisha nini Watanzania?Kunatofauti kubwa sana mkuu kati ya sungura na paka chadema lakuvunda.
Hiyo ni double standard ya kupitiliza hadi inatia kichefuchefu..............Double standard
Kazi yangu hairuhusu hayo unayoyasema wewe yakijinga sanaMkuu ungetuaminisha zaidi kwa unayosema hapo juu KWA PICHA....hIzi zinaweza zikawa ni porojo tu unaleta humu ndani ili kutaka kuharalisha VURUGU ZENU zisizokua na kichwa wala miguu......
Wanaoisoma number ni nani baina ya upinzania na ccm?Mtaisoma namba.
Acha porojo sasa......Kazi yangu hairuhusu hayo unayoyasema wewe yakijinga sana
Tuma picha plsSIKU chache baada ya Jeshi la Polisi nchini kupiga marufu maandamano na mikutano ya vyama vya siasa nchini, wafuasi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wameandamana.