Polisi wachemka, CCM waandamana Mwanza

Polisi wachemka, CCM waandamana Mwanza

Unapotaka kuandamana bila kuwa na nia nzuri lazima utazuiwa tu
 
huwezi kutenganisha polisi wa Tanzania na CCM! Mifano ipo mingi tu kwa viongozi wastaafu wa polisi wanapewa ukuu wa mikoa na wilaya na wengine wanapewa ukatibu mkuu au balozi. huwezi kupata post hizo kama wewe sio kada wa ccm kindakindaki, so hapo hakuna cha kushangaza ndio mfumo wa nchi ulivo sasa kazi ya wanamabadiliko ni namna ya kubadili hali hiyo. hata wakuu wa jeshi la ulinzi (jw &jkt) wastaafu wanapewa post unaweza ku balance the equation
 
Inasikitisha sanaaaa for this double standard...
 
...
Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza akizungumza na waandishi wa wanahabari leo amedai kuwa, hana taarifa za tukio hilo na kwamba, polisi hawapo kwa ajili ya kukibeba chama chochote cha siasa licha ya kushindwa kuyazuia maandamano hayo.
...
Hana taarifa za tukio hilo. Polisi imeshindwa kuyazuia maandamano hayo.

My take:
Utashindwaje kuzuia maandamano ambayo huna taarifa kuwa yapo?
 
Huyo RPC sidhani kama kichwa chake kizima. Anajibu lightly tu kuwa hajui?? Kweli? atakuwa kajaza nyama kichwani na wala siyo akili
RPC wenyewe amepewa baada ya kums JK I ileee ya Ulimboka yeye n aliomteka , kumtesa vile ni mnyama sana na kibaraka cha wakubwa kw ajili ya vyeo! Wamerushwa vyeo yeye na ndugu yake yuko Zbar....Salum na Ahmed...hao wako radhi waue mtu kulinda watawala na wao wapande! Hatari sana
 
maandamano ya kata! we call this peripheral politics. That was ward level butter and bread politics a reasonable policeman could politely ignore.
 
Back
Top Bottom