Polisi wachemka, CCM waandamana Mwanza

Polisi wachemka, CCM waandamana Mwanza

Walifanyanini mpaka kufika pale walipofika wacha ujuha
Source yangu ni ITV Wameeleza mbinu waliyotumia. Hawakutembea kwa miguu. Bali walipannda hiace na mpaka walipoenda. Ni ngumu kwa police kung'amua mbinu hiyo.
Unapoleta chuki baina ya jamii Juha wewe itakusaidia nn? Au kwenu Burundi? Mambo yakiharibika unarudi kwenu?
 
Source yangu ni ITV Wameeleza mbinu waliyotumia. Hawakutembea kwa miguu. Bali walipannda hiace na mpaka walipoenda. Ni ngumu kwa police kung'amua mbinu hiyo.
Unapoleta chuki baina ya jamii **** wewe itakusaidia nn? Au kwenu Burundi? Mambo yakiharibika unarudi kwenu?
Ina maana intelligensia ya Polisi ilishindwa kujua hilo
 
Ccm wanajua kuandamana kwa amani,

Hapo ingekuwa machadema watu wangefanyiwa fujo na kulazimishwa kuandamana

Natamani nikutukanie mama yako mzazi lakini cyber crime inabana[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom