Polisi Tanzania wadaiwa kumtendea ukatili kijana Kanani Samwel kwa kukosoa mchakato wa Uchaguzi

Msambwata

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,307
2,000
Wadau,

Nimesikitika Sana kuona Jeshi la Polisi likiweka kando weledi wa kulinda raia na Mali zao badala yake jeshi hilo limekuwa likidaiwa kuwa mstari wa mbele kuongoza kutesa vijana/watu hasa wa mrengo fulani kisiasa ili kufurahisha Wakuu.

Kuna kijana pale Arusha anaitwa Kanani Samwel alikosoa mchakato wa uchaguzi na aliamua kumuandikia IGP message kupitia ukurasa wake wa Facebook kuelezea police wake walivyokuwa wanatetea CCM Na kusimamia kupora ushindi wao.

image.jpeg

Kanani Samwel

Ujumbe ulifika kwa muhusika lakini return/mrejesho wake ikawa ni kukamatwa Na kuteswa kwa kipimo kikali Na kuchomwa moto nyayo zake za miguu yote huku akiulizwa kwanini unaipenda CHADEMA.

Nikiwa Kama mzazi imeniuma Sana Na Nimelazimika kumtafuta huyo kijana direct kutoka hapa Ujerumani Na amenieleza machache, ingawa naona psychologically hayupo Sawa. Naomba watetezi wa haki za binadamu saidideni watu Kama hawa ambao katiba inawataka watoe mawazo Yao ila watawala hawataki kusikia mawazo ya watawaliwa.

Asanteni...

image.jpeg
image.jpeg
image.png
 
Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
14,905
2,000
Dunia Inavyo Zunguka Kuna Mambo Mengi Sana Hutokea Ambayo Mim Na Wew Labda Hatuyajui Ila Baada Ya Muda Fran Tunayajua

Ili Uishi Tanzania Support Dolla Vinginevyo Visa Na Visanga Pamoja Mateso Vitakuandama

Pole Sana Ndugu Yangu
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,673
2,000
Wadau,

Nimesikitika Sana kuona jeshi la police likiweka kando weledi wankulinda raia Na Mali zao badala yake jeshi Hilo limekuwa mstari wa mbele kuongoza kutesa Na Au kuua vijana/watu hasa wa mrengo fulani kisiasa ili kufurahisha Wakuu.

Kuna kijana pale Arusha anaitwa Kanani Samwel alikosoa mchakato wa uchaguzi na aliamua kumuandikia IGP message kupitia ukurasa wake wa Facebook kuelezea police wake walivyokuwa wanatetea CCM Na kusimamia kupora ushindi wao.

View attachment 651751
Kanani Samwel

Ujumbe ulifika kwa muhusika lakini return/mrejesho wake ikawa ni kukamatwa Na kuteswa kwa kipimo kikali Na kuchomwa moto nyayo zake za miguu yote huku akiulizwa kwanini unaipenda CHADEMA.

Nikiwa Kama mzazi imeniuma Sana Na Nimelazimika kumtafuta huyo kijana direct kutoka hapa Ujerumani Na amenieleza machache, ingawa naona psychologically hayupo Sawa. Naomba watetezi wa haki za binadamu saidideni watu Kama hawa ambao katiba inawataka watoe mawazo Yao ila watawala hawataki kusikia mawazo ya watawaliwa.

Asanteni...

View attachment 651751 View attachment 651757 View attachment 651759

Endeleeni kuunga mkono!. Mungu yuko hai!
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,313
2,000
Ipo siku yatawageukia nyie

Ova

Hata Mimi nikiona hatare ya dhahiri Halafu sichukui tahadhari huna haja ya kunihurumia

Hata Wewe unaweza ku post Upumbavu wowote kwny wasap na Instagram na Facebook lakin kwa kuwa unachukua tahadhari kote kule una behave accordingly na Povu lote unakuja kutapikia JF kwny username za kughushi na ndio sababu narudia uki post ufwala ukadakwa huo ni Ujinga wako kwa kuwa JF ni kichaka salama cha kutolea kiungulia chako
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,643
2,000
Wadau,

Nimesikitika Sana kuona jeshi la police likiweka kando weledi wankulinda raia Na Mali zao badala yake jeshi Hilo limekuwa mstari wa mbele kuongoza kutesa Na Au kuua vijana/watu hasa wa mrengo fulani kisiasa ili kufurahisha Wakuu.

Kuna kijana pale Arusha anaitwa Kanani Samwel alikosoa mchakato wa uchaguzi na aliamua kumuandikia IGP message kupitia ukurasa wake wa Facebook kuelezea police wake walivyokuwa wanatetea CCM Na kusimamia kupora ushindi wao.

View attachment 651751
Kanani Samwel

Ujumbe ulifika kwa muhusika lakini return/mrejesho wake ikawa ni kukamatwa Na kuteswa kwa kipimo kikali Na kuchomwa moto nyayo zake za miguu yote huku akiulizwa kwanini unaipenda CHADEMA.

Nikiwa Kama mzazi imeniuma Sana Na Nimelazimika kumtafuta huyo kijana direct kutoka hapa Ujerumani Na amenieleza machache, ingawa naona psychologically hayupo Sawa. Naomba watetezi wa haki za binadamu saidideni watu Kama hawa ambao katiba inawataka watoe mawazo Yao ila watawala hawataki kusikia mawazo ya watawaliwa.

Asanteni...

View attachment 651751 View attachment 651757 View attachment 651759
Intaharamwe on the making
 
chibuga mugeta

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,047

Hapa ndipo tumefikia nchi hii!laana nyingine tunajitakia sisi wenyewe haya mateso hayataiacha nchi salama,muda utasema,mtayasikia mengi ambayo hata hayajawahi kutokea hilo la CONGO japo si la kufurahia ila ni matunda ya mikosi na laana ktk nchi yetu!
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
51,326
2,000
endelea kufurahia huo ujinga,kumbuka ukifurahia mateso ya mwenzio basi ujue nawe unayatengeneza ya kwako ambayo usingeyapata wewe ila sbb ya upuuzi wako unayatengeneza mwenyewe,utavuna unachopanda,Mola ni ww wote.
Mkuu nmemwambia hvyo...[HASHTAG]#pohamba[/HASHTAG] naona anafurahia kitendo hicho alichofanyiwa samweli

Ova
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom