Msambwata
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 1,307
- 1,499
Wadau,
Nimesikitika Sana kuona Jeshi la Polisi likiweka kando weledi wa kulinda raia na Mali zao badala yake jeshi hilo limekuwa likidaiwa kuwa mstari wa mbele kuongoza kutesa vijana/watu hasa wa mrengo fulani kisiasa ili kufurahisha Wakuu.
Kuna kijana pale Arusha anaitwa Kanani Samwel alikosoa mchakato wa uchaguzi na aliamua kumuandikia IGP message kupitia ukurasa wake wa Facebook kuelezea police wake walivyokuwa wanatetea CCM Na kusimamia kupora ushindi wao.
Kanani Samwel
Ujumbe ulifika kwa muhusika lakini return/mrejesho wake ikawa ni kukamatwa Na kuteswa kwa kipimo kikali Na kuchomwa moto nyayo zake za miguu yote huku akiulizwa kwanini unaipenda CHADEMA.
Nikiwa Kama mzazi imeniuma Sana Na Nimelazimika kumtafuta huyo kijana direct kutoka hapa Ujerumani Na amenieleza machache, ingawa naona psychologically hayupo Sawa. Naomba watetezi wa haki za binadamu saidideni watu Kama hawa ambao katiba inawataka watoe mawazo Yao ila watawala hawataki kusikia mawazo ya watawaliwa.
Asanteni...