Polisi Tanzania wadaiwa kumtendea ukatili kijana Kanani Samwel kwa kukosoa mchakato wa Uchaguzi

Wewe Mbona umekuja kujificha JF kwa kutumia Jina feki then ndio unatoa Mawazo yako halisi?

Kwanini hujamfundisha Huyo Kijana ujanja unaotumia Wewe najua unapenda sana ungekuwa verified user lakin unaogopa madhara yake kwa kuwa una akili!
MOD tuondoleeee watu kama hawa huenda sio watanzania ,wako kutuvuruga
Na huyo ndugu yao.

Siasa za.vyama hazijawahi kufikia kiwango cha ukatili wa kufurahia mateso...ya wengine
 
MOD tuondoleeee watu kama hawa huenda sio watanzania ,wako kutuvuruga
Na huyo ndugu yao.

Siasa za.vyama hazijawahi kufikia kiwango cha ukatili wa kufurahia mateso...ya wengine

Usiwe Mpumbavu wa kiwango hicho!
Kasome Motto ya JF ndio uthibitishe ulivyo Mpumbavu
JF ni kwa walio na Mawazo huru sio kwa watanzania pekee!

Jifunze kuwa mvumilivu wa kusikia usichopenda kusikia

Wewe unatumia Jina la kughushi kwa kuwa unaogopa Mkono wa Serikal Halafu unajifanya jasiri shenz waahed!
 
Mliokuwepo wakati wa ukoloni je mambo yalikuwaje? yanaendana na haya, yamepungua ama yamezidi?
 
Mungu atakulipa kwa haki ,una roho gani kusema kijana wa watu kajitakia ..
Siku hiyo yakikutokea utakumbuka....
Siasa isifanye kushabikia...maumivu ya wengine

Angekuwa anatumia mbinu unayotumia Wewe kujificha JF yangemkuta hayo?
Kwanini una roho mbaya hutaki kushauri awe anajificha JF Kama Wewe?
Mpiganaji au mbambanaji yoyote Jukumu la kwanza ni kutathmini Usalama wake kwanza
Kama kuna Njia salama ya kutoa Mawazo yako huru bila ya kujulikana ukaipuuza ukaenda kutoa Mawazo kwa kutumia Jina halisi huko Facebook ukadakwa huo narudia ni Ujinga Mkubwa sana
 
Matatizo Mengine ni ya kujitakia!
Mbona Wewe hujateswa?
Chadema walifuta Operation Ukuta kwa kuwa hawataki Matatizo ya kujitakia!,
Tunazungumzia hili tukio . Swali la mbona hujateswa halihalalishi uteswaji uliofanywa. Issue hapa ni je alichoeleza ni tusi, au uongo? Tukiogopa system kiasi hicho hata kuagiza huduma unayopenda itakuwa ngumu kwani wewe unabaki kuwa recipient wa kila kitu kiwe kibaya kiwe kizuri. wewe mtizamo wako ni wa kutufikisha huko
 
Usipochukua tahadhari kwa kufunga Mlango usiku wakati wa kulala haihalalishi Kibaka kuja kukuibia, lakin usipofunga Mlango ukaibiwa nitakwambia umejitakia kuibiwa!

Huyo Kijana kajitakia kwa kuwa alipaswa kuchukua tahadhari Kama unayochukua Wewe na Mimi kuacha kuandika Mawazo yetu huru kwny page zetu halisi za Facebook na kuja kuandikia humu JF tukiwa tumeficha utambulisho wetu halisi
 
We ndugu yangu sio bure
 
Back
Top Bottom