Polisi, msaidieni mama huyu anafanyiwa ukatili na mumewe

Jeshi la polisi mkoa wa Iringa tunaomba mumuokoe huyu mama hapa Mkimbizi, mama huyu anateswa sana na mume wake kwa vipigo; mbaya zaidi huyu mama anaogopa kushitaki kulingana na vitisho anavyopewa. Majirani tumemsihi sana huyu baba lakini hashauriki wala hamuelewi mtu.

Watetezi wa wanawake mwanamke mwenzenu anavunda kwa vipigo msaidieni.

Huyu baba ni mkatili sana kwa kweli kwa familia yake.

Namba ya huyo mama ni 0676361*** mtafuteni muone

Mbaya zaidi huyu baba anasema haogopi chochote.

OCD tafadhali mtafuteni mtu huyu muone wenyewe.

Namba za huyo mume wake ni 0753248****
Muhali, muhali, muhali
 
. Amepigiliwa Misumari hawezi Kuondoka Mwenyewe...Anasubiri had I auawe???
 
Usishangae polisi wakienda mke akasema " wala sijawahi pigwa!! watu wana wivu tuu na PENZI letu", ila sio jambo jema hata kidogo.
Bora hilo, wengi wao wakifika wanamtishia mama wa watu, wakiondoka naye kufika mbele wanaanza kumtamani
 
Bora hilo, wengi wao wakifika wanamtishia mama wa watu, wakiondoka naye kufika mbele wanaanza kumtamani
kwani polisi wetu si ndio sisi sisi blaza.....tuna njaa kama funza wa mtaroni....yaani ukiripoti ishu polisi kwao ni fursa.....
 
Namba za simu zilizowekwa zinaishia na nyota, kama hawakusoma hesabu za probability basi mtihani kwao
Wahariri ndo wamezi-edit na kuweka hizo nyota issues za confidentiality nadhani. ila mtoa post alitoa full details including full mobile phone numbers. So, JF watakua wamepeleka hizo details kamili kwa mamlaka husika. Kazi nzuri sana Mhariri
Hongera pia mtoa taarifa MTAKA HABARI kwa kuwasilisha taarifa hii
 
Mwanamke akikuuzi huna haja ya kumpa kipigo.
Unamsubiria kitandani hapo ndio unamshushia kipigo cha dudulayuu
Hakuna teknik siipend kama hiyo jamani sijui why yaan tunekerena unahis mm nataka dudu?like serious? Malizana na mm kwa kuonesha nia na kutubu sio mmegombana eti unatumikishe mwili wangu😖😖😖
 
Back
Top Bottom