Polisi: Mbowe amepelekwa Dar kwa Mahojiano, atarejeshwa Mwanza

CCM kweli mna hela za kuchezea...mahojiano tu hadi dar toka mza then Mza again... wakati watoto madarasani wanakaa chini...

Umuhimu wa katiba mpya ni unaonekana waziwazi ili mambo haya ya kuchezea kodi za walala hoi yafikie kikomo.
 
Wamfunge tu ijulikane now tumechoka na mambo yao

Ila siku police yeyote akijichanganya kwenye 18 zangu nafumua ubongo

I'm tired with these idols!
Mkuu tatizo kubwa ni mfumo unaoendesha hilo jeshi la polisi! Mfumo huo na hii system ya uongozi wa nchi yetu kwa jumla, unapaswa kupigwa kupigwa risasi ya kichwa na kufumuliwa ubongo! Kazi hiyo siyo rahisi, na Mbowe ni kati ya watu wanaopigana na mfumo huo wakiwa front kabisa!
Sijachukia Mbowe kukamatwa, kuteswa, kufungwa au hata kuuwawa! Mbowe ni shujaa atakaye kumbukwa na nchi yetu kwa vizazi vingi, wakati nchi yetu itakapo fikia kwenye mabadiliko anayo pigania! Lazima kuwepo watu kama Mbowe, ili nchi hii ifike panapo stahili, Mungu mbariki Mbowe!
 
CCM kweli mna hela za kuchezea...mahojiano tu hadi dar toka mza then Mza again... wakati watoto madarasani wanakaa chini...

Umuhimu wa katiba mpya ni unaonekana waziwazi ili mambo haya ya kuchezea kodi za walala hoi yafikie kikomo.
Hapo kuna mtu tayari keshapiga kibunda mzee... Kitaandikiwa matumizi ya kumsafirisha Mwamba to and from Dar
 
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.

"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.

Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.

Mwananchi
Bila CHADEMA/Mbowe na wanaharakati wengine sifahamu kama CCM ingekuwa na hali gani muda huu.Bila POLISI CCM ingekuwa kwenye hali gani kisiasa hapa nchini.CCM inawategemea POLISI kushindana na vyama kama CUF,ACT,ADC nk kushinda Uchaguzi wa Jimbo lenye watu wasiozidi 3,000?
Sisi Watanzania tunataka kukamilisha Mchakato wa Katiba yetu tuliyoporwa na CCM 2014-2015 bila kujali lolote.
 
Safi kabisa!

Mbowe anamlaumu Samia kwamba hachukui hatua zozote kuzuia kusambaa kwa corona ila bado anahamasisha vikongamano uchwara vyake! Bure kabisa.
Tarehe 25/07/2021 tukutane Lake Tanganyika Stadium.
 
Polisi si wajinga ,na hawajawahi kuwa wajinga .Amani haitenganishwi na utaratibu

Misuse of resources ,yanini kwenda kuvunja mlango ,kutumia helcopter kumleta mbowe ,kulipa Perdiem ofisa ,zote ni kodi za wananchi,why wasimpigie simu tu aripoti kituo cha kati dar?
 
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.

"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.

Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.

Mwananchi
Polisi bwaaana du!?
 
Hakuna kesi hapo . Na uonevu una mwisho kwa fimbo ya mnyonge .
 
Polisi wa Tanzania nanyi mmezidi kwa upole utadhani mnafanya kazi parokiani! Mbona hatuoni watu wamejaa manundu na ngeu? Hamuoni jinsi wenzenu wa Kwa Mzee Mseveni wanavyotembeza mboko na mikong'oto? Pigeni huyu Kamanda Mbowe hadi akalazwe Sewa Haji, bila kuwekewa POP na nyuzi kadhaa ataendelea kushika sharubu zenu huyu!
images.jpg
 
UKIISHI BILA MPANGO KAZI KATIKA MAISHA

1. Utalazimika kuishi kwa kutekeleza mpango kazi wa watu wengine

2. Utapoteza muda wako kuupongeza au kuuponda mpango kazi wa mwenzako kama wale waha waliobadilika kuwa chawa MWIJAKU na BABAREVO

3.Mbowe na wenzake chama chao hawana mpango kazi hivyo wamekuwa wakirukia rukia ajenda za akina KIGOGO na SARUNGI

4. Kwa kukosa kwao mpango kazi sasa wanalazimika kutekeleza mpango kazi wa polisi wao ndio majukumu yao uealaumu uwatukane ndio hivyo kazi zao wanaweza kucheza na wewe mwaka mzima
 
Alafu Mbowe akitoka hapo anaitisha waandishi wa habari na kuwaambia gharama ambazo serikali imetumia kwa ajili ya kumhoji tu. Usafiri wa ndege na posho za hapa na pale Mwanza to Dar then back to Mwanza kwa ajili ya mahojiano.
Mwisho anahitimisha kama hizo ndo kazi ya kodi ya wananchi wanazokatwa kwenye simu.Wananchi watapima uhalali wa serikali kuwanyonya.
 
Wamfunge tu ijulikane now tumechoka na mambo yao

Ila siku police yeyote akijichanganya kwenye 18 zangu nafumua ubongo

I'm tired with these idols!
Tengua kauli, hii taasisi ipo, itakuwepo, hata Chadema ikichukua nchi taasisi hii itakuwepo chini yake.
Unadhani askari polisi wote hufurahia kile kinachoendelea? Unajua kisa cha SACP David Misime kuendelea kuwa na cheo hicho hicho mwaka wa 7 sasa hajapanda cheo? Kama hujui basi fuatilia kisa hicho Dodoma Miaka takribani 7 kurudi nyuma, ni kusimamia haki na kupinga udhalimu wa ccm.

Jiwe ana bahati aliondoka mapema, dawa yake ilikuwa jikoni, niishie hapa nisitoe ya jandoni, POLISI!
 
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.

"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.

Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.

Mwananchi
Polisi wa Tanzania katika utendaji wa shughuli zao hawaruhusiwi kutumia akili hata kidogo, mbona wanafanya mambo kipumbavu pumbavu
 
Back
Top Bottom