Polisi: Mbowe amepelekwa Dar kwa Mahojiano, atarejeshwa Mwanza

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,951
2,000
Wamfunge tu ijulikane now tumechoka na mambo yao

Ila siku police yeyote akijichanganya kwenye 18 zangu nafumua ubongo

I'm tired with these idols!
Utampata wapi sasa,yaani utoke kujiuza hadi kumfumua polisi ubongo...mjinga sana wewe
 
Ngamanda

JF-Expert Member
Jan 9, 2019
228
250
Hawa polisi hawajajifunza toka kwa Kamanda hayati Jonathan Shana, alikuwa afande mwenye mahaba ya dhati na chama cha mbogamboga akiwa rpc arusha! Lakini aliishia pabaya akapata presha akatangulia!!

Nafikiri bado somo halijawaingia vizuri
Afande huyo alipata adhabu ya kifo? Siku hizi wapinzani hawafi! Wanaokufa ni wale tu wanao Saidia CCM! Prof. Baregu sijui kwa nini alikufa il hali ni CHADEMA!
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,550
2,000
Tuwe wavumilivu, unapo fanya chokochoko na fujo kuna majibu yake. Kabla kuwasulubu jirani zako kwa unayoyaona ni makosa, kwanza jiangalie kama wewe uko vizuri na huna dosari...
Miye na polisi tu and it is now personal!
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,155
2,000
Safi sana. Yuko kwenye mikono salama ya polisi. Na alishasema hataki dhamana. Hivyo Mnyika usihangaike kwenda mahakamani kumtoa kwa dhamana. Ataendelea kukaa kwenye mikono salama ya polisi hadi kesi yake itakapoisha. Ndiyo maana anaitwa Mwamba! Karibu atawavusha, tulieni na kuchuntama.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,205
2,000
Kwa gharama za kodi zetu.Naona police wameanza tena kumpa Mbowe umaarufu awajifunzi hawa.

Labda kama ni dili la 20% la kupigia pesa kwenye ukamataji.

Toka lini Mbowe akaw tishio au ndio chanzo cha ugumu wa maisha ya Mtanzania.

Kamatakamata Hii ni biashara ya watu,wabongo kwa dili ni kama mswaki na dawa.
 
Mkurugenzi wa itifaki

JF-Expert Member
Jan 15, 2017
1,899
2,000
Screenshot_20210721-172853.jpg
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,090
2,000
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.

"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.

Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.

Mwananchi
The plane might crush, Mbowe be careful!
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,807

Endeleeni, tu ipo siku mtakua pekee yenu na mtajuta,
 
Stan Mashamba

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
2,764
2,000
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.

"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.

Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.

Mwananchi
Matumizi mabaya ya pesa ya umma.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,555
2,000
Safi kabisa!

Mbowe anamlaumu Samia kwamba hachukui hatua zozote kuzuia kusambaa kwa corona ila bado anahamasisha vikongamano uchwara vyake! Bure kabisa.
Akashauri mahabusu anakowekwa ambako hata chumba kimoja wanalala kibao ku take social distance wakati chumba ni kimoja ambacho social distance Hai i apply
Tii sheria Bila shuruti
 
Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
2,273
2,000
Yaani Mama amejitahidi sana, wamefutiwa kesi ila kwa wanavyopenda coverage ya vyombo vya habari wanaibua matukio ya kihuni ili wapate cha kusingizia wajipatie umaarufu.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,732
2,000
..huu sasa ni ujinga.

..hivi polisi hawana kazi za maana za kufanya?

..hawa bajeti yao ipunguzwe maana wanafuja fedha za umma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom