Safi kabisa!
Mbowe anamlaumu Samia kwamba hachukui hatua zozote kuzuia kusambaa kwa corona ila bado anahamasisha vikongamano uchwara vyake! Bure kabisa.
Huyu mtu (Mbowe ) hana tofauti na wale wanyama wanaolinda usiku lakini ni wale koko
Safi kabisa!
Mbowe anamlaumu Samia kwamba hachukui hatua zozote kuzuia kusambaa kwa corona ila bado anahamasisha vikongamano uchwara vyake! Bure kabisa.
Kwamba akihojiwa mwanza itakuaje mpaka wamlete dar?Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.
"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.
Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.
Mwananchi
Ubongo wako umeoza!Tuwe wavumilivu, unapo fanya chokochoko na fujo kuna majibu yake. Kabla kuwasulubu jirani zako kwa unayoyaona ni makosa, kwanza jiangalie kama wewe uko vizuri na huna dosari.
Tunawasema viongozi wa serekali kuwa wanavunja katiba na tunadai katiba mpya, na tunamuona Mbowe anavyo ikanyaga katiba ya chama na namna anavyo kiendesha chama kwa kidikteta lakini aa hatumuoni wala hatusubutu kumshutumu. Tunaona ni mwamba.
Siasa za kinafiki hazileti maendeleo bali huleta mfarakano.
MipoliCCM nitutusa kweli. Sasa walimficha wa nini tangu wamkamate? Shame upon them.Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.
"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.
Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.
Mwananchi
Ni kipengere gani cha katiba ya cha alichokivunja?Tuwe wavumilivu, unapo fanya chokochoko na fujo kuna majibu yake. Kabla kuwasulubu jirani zako kwa unayoyaona ni makosa, kwanza jiangalie kama wewe uko vizuri na huna dosari.
Tunawasema viongozi wa serekali kuwa wanavunja katiba na tunadai katiba mpya, na tunamuona Mbowe anavyo ikanyaga katiba ya chama na namna anavyo kiendesha chama kwa kidikteta lakini aa hatumuoni wala hatusubutu kumshutumu. Tunaona ni mwamba.
Siasa za kinafiki hazileti maendeleo bali huleta mfarakano.
Manka uwaziri unakunukia!MipoliCCM nitutusa kweli. Sasa walimficha wa nini tangu wamkamate? Shame upon them.
Ingia barabarani kamandaMambo ya hovyo sana haya!!!
Utakuata na wewe unaongea kumbe muonekano wako ni sawa na ka mbwa kanakolala chumbani kwenye kochi.Wamfunge tu ijulikane now tumechoka na mambo yao
Ila siku police yeyote akijichanganya kwenye 18 zangu nafumua ubongo
I'm tired with these idols!