Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
Basi tayari imekwisha!
😭😭 Kwa ZILE damu nakadilia ni zaidi ya 2Ltr na kwa kawaida binadamu mwanaume ana takribani Lita nne na nusu.Nimeamua kuipuuza hiyo taarifa; watuambie wamemuweka wapi?
Vv
Huyu hapa, haya jichukulieni hatua
DahHuyu hapa, haya jichukulieni hatua
View attachment 3322806
Na hapatikani tena.Basi tayari imekwisha!
Siyo baadhi ya polisi bali ni Samia.Baadhi ya polisi wachache wanalichafua mno jeshi la polisi
Laana ya Mungu i juu yao waliohusika
Haya mambo ya kusema baadhi ni kama kutaka kuwaisolate watu fulani fulani ,sijui kwa manufaa na nani? .Baadhi ya polisi wachache wanalichafua mno jeshi la polisi
Mdude kama unafuatilia statement zake tangu ameanza kukamatwa hakuna siku ameficha hata hili tukio alitoa taarifa siku mbili nyuma kua polisi wanamwinda wapajue anapoishi ili wamteke.Hi nchi ngumu sana utashangaa huyo Mdude akipatikana akiulizwa nani alikuteka atasema ni Siri siwezi kusema
Basi tayari imekwisha!
Kuna mtu kwenye video hataki hata kamera imuelekee, sema nini ndugu zangu kama una familia na iko nchini nenda mbele na urudi nyuma utaacha mayatima wasio na hatiaHuyu hapa, haya jichukulieni hatua
View attachment 3322806