Polisi Makete waua mteja wa benki

Polisi Makete waua mteja wa benki

hivi inakuwaje haya yanatokea kwenye nchi yenye utawala wa sheria? basi JK atangaze hali hatari kieleweke kabisaaaaa!!! R.I.P Broo!!!!:nono:
 
Uchunguzi utasema hiyo siyo risasi bali kitu chenye ncha kali ndio kilirushwa na kumdhuru.
 
walishaambiwa na amiri jeshi mkuu wafanye kazi bila kumuogopa mtu...mh
 
Kama kawa Advera Senso atasema palitokea majibizano ya risasi kati ya askari na pikipiki ya mtuhumiwa ndipo kitu kizito chenye ncha kali kinachosadikiwa kurushwa kutoka upande usiojulikana kikampga marehemu na uchunguzi unaendelea. Tuchukue hatua dhidi ya jeshi la polisi vinginevyo watatumaliza. Yani hata ukikuta polisi anagombana/pambana na nyoka ni bora umsaidie nyoka. Mimi hata majambazi wakiingia nyumbani kwangu nitapambana nao mwenyewe kama alivyofanya yule bibi wa Bagamoyo hadi dakika ya mwisho lakini siwezi poteza hata sekunde moja eti kuomba msaada wa polisi
 
Itabidi tuajiri majambazi kuwadhibiti polisi maana polisi wamekuwa kero kwa raia na mali zao, rest in peace mwalimu
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Ni hizi hapo juu mkuu.
 
Kauawa na polisi akitoka kuchukua pesa atm nmb makete juzi;

Mod unaweza kurekebisha ili zionekane vizuri zaidi

WAPOMA, ungetuelezea kwanini ameuawa labda walidhani ni jambazi au?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtindo huu basi hakuna haja ya ATM kwamana tutakwisha sasa! Au ni wivu wa askari kuona jamaa kaja kuchukua zake akatanue na yeye kubaki mlinzi na baridi likimpiga!!!.

jamani hayo maneno mh!!!
 
hatua yeyote iliyochukuliwa? au tuanze kama yule jamaa wa LA kuua police popote anapoonekana? hii sio ssahihi mwema mafunzo ya busara yanahitajika ccp, tena iwe ni kila after 2yrs police wapigwe brash ya kuwaza kabla ya kukoki silaha, even a dog gives a thought before attempt any attack
 
pOLIS wanaolinda bank usiku
wanajigeuza trafick baada ya kufanya kazi ya kulinda Bank. Kuna siku
moja walinisimamisha pale Posta wakajianya nimevunja sheria
nikawakomalia wakaniachia. Ukiwa na gari jamaa anasimama mbele yako na
kukunyoshea mtutu.

We endelea kuwakomalia hivyo hivyo iko siku utakumbana na vitu vyenye ncha kali!
 
tena sio anakuwasha risasi kwa sababu wewe ni jambazi ila kwa sababu anataka achukue mihela ambayo atahisi unayo na huwa anawaza hili jitu litakuwa na kuanzia mamilioni.

hawa ndio polisi wa baba riz wanajua kuua na kuchukua mali kama ule wakati wa ukuaji wa empires yani ni kuua na kupokonya na kujilimbikizia chochote kitakachopatikana.

Nimekumbuka sana ule uzi wako juu ya hawa majambazi,siku hizi ni heri ukutane na simba kuliko hawa watu,inasikitisha sana siku hizi haki ya mtanzania ya kuishi inaweza kuondolewa na hawa watu ili mradi tu akijisikia maana wanajua sheria zetu hazifanyi kazi
 
Never argue with anyone with loaded gun it is impossible to know his state of mind
 
kwa kweli inasikitisha sana, Mtu amekwenda kuchukua jasho lake, amabalo anastahili kulipata, Police badala ya kumlinda wao wanataka kuchukua, tena wamechukua kwa nguvu na kutoa uhai wake, Jamani tunakwenda wapi, Nchi yenye utawala wa sheria lakini hakuna kitu. SASa JK hapo ataunda tume ya uchunguzi ili wazidi kula. na tume yenyewe police wamo wakati wao ndiyo wauwaji wakuu.
Na majambazi wengi ni police hao hao. maana ndani ya jeshi hilo wanachukuliwa wale waliokuwa wavuta bangi na wamefeli shule na walikuwa watukutu, sasa wazazi wao wanaona hawana pa kuwapeleka ndiyo wanawaingiza Police. Kama nakuongopea wewe chunguza wale ambao ulisoma nao halafu walishindikana wameishia wapi wengi wao wapo Police
. WAMEANZA NA WAANDISHI WA HABAR, SASA WALIMU KESHO WANANCHI WA KAWAIDA. TUNATAKIWA KUCHUKUA HATUA MWAKA 2015 ILI TUONDOKANE NA ADHA HII.
 
Askari anaacha kulinda bank anafanya kazi za traffic police,njaa mbaya sana
Hiyo ipo hata hapa dar, Ukiwa unaendesha bahati mbaya ukapita njia iliyopo posta karibu na NMB makao makuu, inayoangaliana na Bima, halafu iwe usiku badala ya kulinda Bank wanakusimamisha na wanataka pesa, wakati mm najua mtu ukikosea wanatakiwa wakueleweshe na siyo kuwapa pesa. na ukimwambia huna anakutishia bunduki ansema anakushuti halafu atasema wewe ulikuwa unataka kuiibia bank pesa. na ukishafumba mdomo huwezi bishana naye unaona bora uwape usepe zako.
 
Hiyo ipo hata hapa dar, Ukiwa unaendesha bahati mbaya ukapita njia iliyopo posta karibu na NMB makao makuu, inayoangaliana na Bima, halafu iwe usiku badala ya kulinda Bank wanakusimamisha na wanataka pesa, wakati mm najua mtu ukikosea wanatakiwa wakueleweshe na siyo kuwapa pesa. na ukimwambia huna anakutishia bunduki ansema anakushuti halafu atasema wewe ulikuwa unataka kuiibia bank pesa. na ukishafumba mdomo huwezi bishana naye unaona bora uwape usepe zako.
Ni yakweli hayo mkuu?
Kama ni yakweli naomba niwekee maelezo kwa PM ili nifatilie!
 
Back
Top Bottom