alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
Askari yupo lindoni bank anahusiana vipi na maswala ya uvaaji elementi hii inaonyesha ni jinsi ganijeshi la polisi wanavyojichukulia sheria mkononi Mwenyezi mungu peleka siku haraka 2015 tufanye maamuzi sahihi