Polisi Makete waua mteja wa benki

Polisi Makete waua mteja wa benki

askari%20amuuwa%20mwalimu%20makete.jpg

Mwili wa marehemu Mwalimu Casto Sote Kawamba aliyepigwa risasi na Askari wa Jeshi la Polisi

ASKARI wa Jeshi la Polisi amemuuwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kitulo Wilayani Mkete kwa kumpiga risasi mgongoni kwa madai kwamba mwalimu huyo alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa Helment (Kofia ya kuendeshea Pikipiki).

Akizungumza na Habarimpya.com kwanjia ya simu Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Makete Peter Kaiza alimtaja marehemu kuwa ni casto sote kawamba na kusema kwamba tukio hilo lilitokea karibu na Benki ya NMB tawi la Makete.

"Mwalimu huyo alikuwa anakwenda kupata huduma za kibenki kupitia mashine ya kutolea pesa ya ATM akiwa na pikipiki ndipo alipo amuliwa na Askari mmoja aitwae Jose Msukuma ili asimame kabla ya kukutwa na umauti huo .

"Kamanda Kaiza alisema kwamba kifo cha mwalimu huyo inadaiwa kuwa ni kutovaa kofia hiyo na baada ya kuitwa na Askari huyo alikaidi amri na kutaka kumgonga askari huyo aliye kuwa lindo.

Nae mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Makete Idd Nganya ambaye ndie mwajiri wa marehemu amesema kuwa mwili wa marehemu bado umehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya makete wakati utaratibu wakusafirisha mwili huo kwenda kwao Mkoani Mbeya kwa ajili ya mazishi ukiendelea

Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Makete Dk Michael Gulaka alisema kwamba walipokea mwili wa marehemu ukiwa na majeraha ya risasi mgongoni na si kwamba marehemun alimpokea akiwa hai kama inavyodaiwa na baadhi ya watu

KWA HISANI YA HABARI MPYA.COM

Tatizo ni training ya kijinga
 
Uvutaji wa bangi ni wa kiwango kikubwa kwa askari Polisi wetu.Kuna asilimia kubwa ya askari ambao wanatumia bangi.
Silaha zipunguzwe mikononi mwa wavuta bangi hawa!!!!!!!!!

siyo bangi mkuu chunguza vzur chanzo cha tatizo man coz hil tatizo linajirudidia hamna jipya askar wa kikwete wamechakachuliwa
 
askari%20amuuwa%20mwalimu%20makete.jpg

Mwili wa marehemu Mwalimu Casto Sote Kawamba aliyepigwa risasi na Askari wa Jeshi la Polisi

ASKARI wa Jeshi la Polisi amemuuwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kitulo Wilayani Mkete kwa kumpiga risasi mgongoni kwa madai kwamba mwalimu huyo alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa Helment (Kofia ya kuendeshea Pikipiki).

Akizungumza na Habarimpya.com kwanjia ya simu Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Makete Peter Kaiza alimtaja marehemu kuwa ni casto sote kawamba na kusema kwamba tukio hilo lilitokea karibu na Benki ya NMB tawi la Makete.

"Mwalimu huyo alikuwa anakwenda kupata huduma za kibenki kupitia mashine ya kutolea pesa ya ATM akiwa na pikipiki ndipo alipo amuliwa na Askari mmoja aitwae Jose Msukuma ili asimame kabla ya kukutwa na umauti huo .

"Kamanda Kaiza alisema kwamba kifo cha mwalimu huyo inadaiwa kuwa ni kutovaa kofia hiyo na baada ya kuitwa na Askari huyo alikaidi amri na kutaka kumgonga askari huyo aliye kuwa lindo.

Nae mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Makete Idd Nganya ambaye ndie mwajiri wa marehemu amesema kuwa mwili wa marehemu bado umehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya makete wakati utaratibu wakusafirisha mwili huo kwenda kwao Mkoani Mbeya kwa ajili ya mazishi ukiendelea

Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Makete Dk Michael Gulaka alisema kwamba walipokea mwili wa marehemu ukiwa na majeraha ya risasi mgongoni na si kwamba marehemun alimpokea akiwa hai kama inavyodaiwa na baadhi ya watu

KWA HISANI YA HABARI MPYA.COM
Nasikia watu wanaandama kupinga matamshi ya mama wa kiingereza. Hili naonawatanzania tunalikubali kama jambo la kawaida.
 
kwa utaratibu wa serikali hii itaundwa tume ya kuchunguza umeuwawa na kitu gani
 
Mmmmh maelezo mengine sasa ni ya ajabu kabisa alitaka kumgonga na pikipiki?hiyo risasi ilibend kufuata mgongo au pikipiki ilikua inarudi revarse?
 
siyo bangi mkuu chunguza vzur chanzo cha tatizo man coz hil tatizo linajirudidia hamna jipya askar wa kikwete wamechakachuliwa

Mkuu tatizo kubwa siku hizi ajira za majehi yetu zinatawaliwa na rushwa hivyo kupata watu sahihi ni kazi ngumu,waajiriwa wengi wana historia chafu,na vyeti feki mpaka mchakato wa vyeo ndo ni rushwa kupangwa traffic ndo kabisa bila hela au kuwa mtoto wa mkubwa flani mtu hapewi u traffic.
Hivyo hayo ni matokeo ya yaliyotarajiwa,binafsi nawafahamu mpaka maafisa wenye vyeti vya kughushi lakini ndo viongozi.
 
Hii ni barabara kuelekea Demokrasia, kweli na heshma juu ya haki za binadamu. Sote tutakufa, Mwl huyu amelazimishwa kutangulia mbele ya haki. Matukio km haya hayakubaliki, Serikali ikikaa kimya Mungu ataipiganania familia ya marehemu dhidi ya watu wenye mamlaka ya kuchukua hatua bali hawachukui. R.I,P
 
Haya ndiyo madhara ya kutowawajibisha polisi wanaouwa raia pasipo sababu ya kufanya hivyo. Nimesikia raia mwingine ameuwawa na polisi huko Mtwara akiwa anadai malipo yake ya korosho.
 
Serikali ichunguze Kama aliuwawa na kitu chenye ncha Kali au laa..

askari%20amuuwa%20mwalimu%20makete.jpg

Mwili wa marehemu Mwalimu Casto Sote Kawamba aliyepigwa risasi na Askari wa Jeshi la Polisi

ASKARI wa Jeshi la Polisi amemuuwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kitulo Wilayani Mkete kwa kumpiga risasi mgongoni kwa madai kwamba mwalimu huyo alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa Helment (Kofia ya kuendeshea Pikipiki).

Akizungumza na Habarimpya.com kwanjia ya simu Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Makete Peter Kaiza alimtaja marehemu kuwa ni casto sote kawamba na kusema kwamba tukio hilo lilitokea karibu na Benki ya NMB tawi la Makete.

"Mwalimu huyo alikuwa anakwenda kupata huduma za kibenki kupitia mashine ya kutolea pesa ya ATM akiwa na pikipiki ndipo alipo amuliwa na Askari mmoja aitwae Jose Msukuma ili asimame kabla ya kukutwa na umauti huo .

"Kamanda Kaiza alisema kwamba kifo cha mwalimu huyo inadaiwa kuwa ni kutovaa kofia hiyo na baada ya kuitwa na Askari huyo alikaidi amri na kutaka kumgonga askari huyo aliye kuwa lindo.

Nae mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Makete Idd Nganya ambaye ndie mwajiri wa marehemu amesema kuwa mwili wa marehemu bado umehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya makete wakati utaratibu wakusafirisha mwili huo kwenda kwao Mkoani Mbeya kwa ajili ya mazishi ukiendelea

Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Makete Dk Michael Gulaka alisema kwamba walipokea mwili wa marehemu ukiwa na majeraha ya risasi mgongoni na si kwamba marehemun alimpokea akiwa hai kama inavyodaiwa na baadhi ya watu

KWA HISANI YA HABARI MPYA.COM
 
askari%20amuuwa%20mwalimu%20makete.jpg

Mwili wa marehemu Mwalimu Casto Sote Kawamba aliyepigwa risasi na Askari wa Jeshi la Polisi

ASKARI wa Jeshi la Polisi amemuuwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kitulo Wilayani Mkete kwa kumpiga risasi mgongoni kwa madai kwamba mwalimu huyo alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa Helment (Kofia ya kuendeshea Pikipiki).

Akizungumza na Habarimpya.com kwanjia ya simu Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Makete Peter Kaiza alimtaja marehemu kuwa ni casto sote kawamba na kusema kwamba tukio hilo lilitokea karibu na Benki ya NMB tawi la Makete.

"Mwalimu huyo alikuwa anakwenda kupata huduma za kibenki kupitia mashine ya kutolea pesa ya ATM akiwa na pikipiki ndipo alipo amuliwa na Askari mmoja aitwae Jose Msukuma ili asimame kabla ya kukutwa na umauti huo .

"Kamanda Kaiza alisema kwamba kifo cha mwalimu huyo inadaiwa kuwa ni kutovaa kofia hiyo na baada ya kuitwa na Askari huyo alikaidi amri na kutaka kumgonga askari huyo aliye kuwa lindo.

Nae mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Makete Idd Nganya ambaye ndie mwajiri wa marehemu amesema kuwa mwili wa marehemu bado umehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya makete wakati utaratibu wakusafirisha mwili huo kwenda kwao Mkoani Mbeya kwa ajili ya mazishi ukiendelea

Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Makete Dk Michael Gulaka alisema kwamba walipokea mwili wa marehemu ukiwa na majeraha ya risasi mgongoni na si kwamba marehemun alimpokea akiwa hai kama inavyodaiwa na baadhi ya watu

KWA HISANI YA HABARI MPYA.COM

Me nnadhani wananchi ndio tunaotakiwa kuchukua kwa ku-dill na police walau na sisi tuwapunguze makali,polisi aliemuua marehemu Daudi Mwangosi yupo mtaani tu anarandaranda.Polisi wanatuua raia kama vile ni kuku na hawafanywi chochote,sasa na sisi tusipochua hatua sisi wenyewe kama watoto waliokosa baba hawa polisi watatumaliza.Siipendi tabia inayoanza kuzoeleka ya polisi kuua raia hovuo hovyo,inaudhi na inajenga chuki kati ya askari na raia.
 
Inasikitisha,inauma sana,hawa ndo vijana wa shemeji yake dhaifu,wanaamini hawatapewa adhabu yoyote
 
Maelezo ya OCD ni wazi anamlinda askari wake kwa sababu haiwezekani askari aliye lindo Nmb kushughulikia masuala ya helmet, pili ikiwa Mwl. alikaidi amri ya askari polisi maana yake alikataa kusimama kwa kukimbia sasa inawezekanaje tena alitaka kumgonga askari aliye lindo Nmb? Askari huyo alikuwa Trafic au mlinzi wa Nmb, kama ni Mlinzi Nmb ametoka wapi na kazi za Trafic?
 
askari%20amuuwa%20mwalimu%20makete.jpg

Mwili wa marehemu Mwalimu Casto Sote Kawamba aliyepigwa risasi na Askari wa Jeshi la Polisi

ASKARI wa Jeshi la Polisi amemuuwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kitulo Wilayani Mkete kwa kumpiga risasi mgongoni kwa madai kwamba mwalimu huyo alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa Helment (Kofia ya kuendeshea Pikipiki).

Akizungumza na Habarimpya.com kwanjia ya simu Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Makete Peter Kaiza alimtaja marehemu kuwa ni casto sote kawamba na kusema kwamba tukio hilo lilitokea karibu na Benki ya NMB tawi la Makete.

"Mwalimu huyo alikuwa anakwenda kupata huduma za kibenki kupitia mashine ya kutolea pesa ya ATM akiwa na pikipiki ndipo alipo amuliwa na Askari mmoja aitwae Jose Msukuma ili asimame kabla ya kukutwa na umauti huo .

"Kamanda Kaiza alisema kwamba kifo cha mwalimu huyo inadaiwa kuwa ni kutovaa kofia hiyo na baada ya kuitwa na Askari huyo alikaidi amri na kutaka kumgonga askari huyo aliye kuwa lindo.

Nae mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Makete Idd Nganya ambaye ndie mwajiri wa marehemu amesema kuwa mwili wa marehemu bado umehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya makete wakati utaratibu wakusafirisha mwili huo kwenda kwao Mkoani Mbeya kwa ajili ya mazishi ukiendelea

Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Makete Dk Michael Gulaka alisema kwamba walipokea mwili wa marehemu ukiwa na majeraha ya risasi mgongoni na si kwamba marehemun alimpokea akiwa hai kama inavyodaiwa na baadhi ya watu

KWA HISANI YA HABARI MPYA.COM

Mnafikiri kile kikao chao kule Dodoma na mkulu kilikuwa cha nini??? TII SHERIA BILA SHURUTI.
 
R.I.P MWALIMU. Hawa polisi hawana akili kwa kuwa ubongo wao umeshaathirika na bangi
 
Karibu tunazoea sasa!!! Hongera Jk kwa kutujenga kiakili na kutufanya tuwe wavumilivu,shupavu na makatili,sasa naweza kumkwida pimbi mwenye SMG bila kuwa na hofu kubwa,nazowea sasa kuona maiti za raia wasio na hatia waliouliwa kwenye michezo ya kujifurahisha ya polisi huku Unga ltd kwetu,tumezoea polisi,tumezowea mabomu,risasi,kipigo,mbio na zaidi sana tuzowea kuona mizoga ya binaadamu waliouliwa na polisi huku mitaani,Tutafika tu!!tukiwa hai au maiti.
 
Back
Top Bottom