Na siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa ajabu yaani hata nzi hatasogea, atakayekuwa hajitaki ajitokeze , utajuta kuzaliwa!
Jiulize alichosema pinda bungeni wakati anafunga kikao cha bunge kilichopita kuhusu hali ya amani.Sijawai sikia serikali hii ya Tanzania hisiyopenda kufanya kazi.
Hipo tu kwa hisia na kuwaragai watu na tishio la alshabab.
Himeonyesha jinsi gani hatuna ulinzi hapa kwetu,kama ndo hivyo tuajiri masai watulinde.
Hiii inakela mpo tu kazi kuvuaa magwanga.
Woga huu alshabab awajatupiga mkwara JE wakitupiga mkwara natumaini wote na Rais wetu tutajifungia kabatini.
yetu macho.
Demonstration si ilikuwa Mbeya, kama Polisi hawajajifunza wakae tayari kuona kasheshe hilo la maandamano nchi nzima ya Tanganyika. Lakini kama hawatagusa watu maana Watanzania wanao uwezo wa kujilinda wenyewe na kufanikisha azima yao ya maandamano!!!!!!!!!!Sijaona source ya habari hii ila Fidel Casto anatufundisha kuwa "Binadamu anapoamua kwa dhati kudai mabadiliko basi hakuna kuta za jela wala upanga wa mauti wowote unaweza kumzuia" Polisi watz wanahitaji demonstration kuwa raia hawa wapole nao wamechoka na udhalimu wa vyombo vya dola na serikali nzima hivyo wanauwezo wa kudai haki mpaka kiikaeleweka
Genius CAUDAL PARTS in action!!Na siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa ajabu yaani hata nzi hatasogea, atakayekuwa hajitaki ajitokeze , utajuta kuzaliwa!
Kama ni maandamano ya kwenye mtandao wa JF hapo pasi na shaka mtafanikiwa kwa more than 100%. Lakin kama ni maandamano ya barabarani basi hapo hamtafanikiwa kwa hata negative zero per cent.
Lakin tuchukulie hichi ni kipimo cha kuonyesha ni wanafiki kiasi gani?