Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
soma post [HASHTAG]#220[/HASHTAG]Dhuluma gan inayominywa?
Ukandamizaji UPI?
Demokrasia mnaitumia vibaya na kupandikiza uhasama kwa watanzania.
Learn!
Sent using Jamii Forums mobile app
soma post [HASHTAG]#220[/HASHTAG]Dhuluma gan inayominywa?
Ukandamizaji UPI?
Demokrasia mnaitumia vibaya na kupandikiza uhasama kwa watanzania.
Learn!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ngapi mmesema hivyo na bado yuko tu. simtetei lissu.. ila mahali wanaposhindwa polis ni kumkamata alaf wanashindwa kudhibitisha tuhuma dhidi yake. Ndio hapo mahakaman anawagaragaza..Atanyooka tu.
Siku moja moja jaribu kuficha ujinga wako mkubwa wewe sasa
Wewe ni kati ya watu wanaojidhalilisha kwa kasi sana hapa jf kutokana na ukabila , ni aibu sana kwa jf .Atanyooka tu.
Hebu fafanuaAtanyooka tu.
Watu wengi wasio na majina wanapitia hizo shida kila siku Tanzania lakini kwasababu siyo mashuhuri tumekuwa tunawapuuza na sasa ni zamu ya waheshimiwa. Binafsi hata simuoni huruma TL , nimekuwa niking'unika ndani kwa ndani jinsi haki za watu wa chini zinavyominywa halafu hawa wapinzani uchwara wanatumia hasira zao kujinufaishia kupitia siasa. Jiulize kwa jinsi TL alivyotoa hotuba unamuona kama ni mtu anaetaka Serikali ijirudi na kuheshimu haki za wananchi wake au alikuwa anataka political mileage?kaiba haitoi haki ya kuzungumza?haitoi haki ya kuandamana?haitoi haki ya dhamana?haizungumzii kupeleleza kabla ya kukamata?
Kuminya haya yote ni nini kwa lugha ya kawaida?
Toa hiyo Dr unadhalilisha taaaluma za watuAtanyooka tu, si ameamua kubeba zigo la chadema. Na bado huu ni mwanzo tu
Toa hiyo Dr unadhalilisha taaaluma za watu
Mtajinyoosha na maguWeka lolote unalolitaka wewe mzushi. Lissu kajitakia mwenyewe, wacha anyooke tu
Nilichokuomba utoe hiyo Dr haijafit hapo weka hata jingalao au poyoyo hakuna atakayekusumbuaWeka lolote unalolitaka wewe mzushi. Lissu kajitakia mwenyewe, wacha anyooke tu
Hivi na wewe ni Colonel intarahamwe au ni Msukuma kanda ya ziwa?Atanyooka tu.
Wasukuma mtamnyoosha?nshachukia wasukuma wote isipokuwa non-CCMAtanyooka tu.
Mkuu sina tatizo na mashtaka wala kushikiliwa kwa mtu.
Ninawasi wasi na kauli za Polisi. Kamanda anaposema ' wanatumia ubunge kama chaka' tayari ameshaondoka katika mstari. Mhalifu hana cheo, wadhifa au muamana, ni mhalifu tu
Kusema wanatumia Ubunge tayari ni kumtengenezea shtaka la kuwa Mbunge
Kulikuwa na ulazima wa kusema hayo?
Kusema '...kama chaka la uhalifu' kamanda keshatoa hukumu. Je, ndivyo sheria inavyosema?
Kumshikilia mtu kabla ya upelelezi haujakamilika inatia shaka. Ipo siku nitawaambia Polisi Dogos amevunja duka jana. Siku hiyo ukakamatwa.
Upepelezi ukikamilika inagundulika kuwa aliyevunja duka ni Douglas anayevaa shati la kijani kama Dogos.
Utakuwa umelala korokoroni na uhuru wako umechukuliwa bila sababu
Hivi tunaweka mkokoteni mbele ya farasi au nyuma ya farasi?
Polisi wanaweza kufuata maagizo kutoka juu, lakini basi wakishapewa wajiepusha na kauli zinazowajengea sura na taswira tofauti