dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
NonsenseAndaki lipo ikulu tu.na tena inawezekana lisimsaidie.
Endeleeni kuchochea kuni.muda si mrefu yale mnayoyaona syria kwenye TV.yatahamia hapa,
alaf muendelee kuvaa fulana za chama cha mitumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkondya hana vyeti sasa anatumia mgongo wa Lisu kusaka chcheo cha kamanda wa kanda maalum ya Dsm atambue kuwa ICC inakuja na yy atakuwa mshitakiwa namba moja.Nasi tunaendelea na maombi ili aendelee kukataa kupima mkojo ili waendelee kumshikilia mpaka atakapokubali...Mkondya shikilia hapo hapo,huyo jamaa anachafua hali ya hewa mtaani.
Waajiri Le mutuz na Bashite wakufundishe jinsi ya kuwabambikia matokeo Feki Wapinzani.NAMPANGO WA KUANZISHA KIWANDA CHA KUPIMA MKOJO
Ni kweli the worst is upon me but not me alone 55mil tanzanians for just having jpm as a president....haijawahi kutokea 50+ yrs ya ccm madarakani president kuwa dereva wa lori anaendesha anavotaka oops someone plz tell dereva wa lori nnchi inakatiba na sheria lori alipaki kwanza afanye kazi kulingana na job description " kulinda na kuitetea katiba ya jamuhuri ya muungano.
Ivi lissu kakumegea mkeo nini mbona unamchukia sana iviAtanyooka tu.
Unataka upi mwepesi au mzito?NAMPANGO WA KUANZISHA KIWANDA CHA KUPIMA MKOJO
Uanasheria wake anautumia vibayaNani kamtolea Mwalimu lugha za kughafirisha wewe!? Acha kukurupuka na kuandika pumba kama huna evidence. Na Mlopokaji ni mdudu gani?
Nadhani wanataka wachukue mkojo wake wa kutoshaNaam Ms. Lincoln huwezi ukanyima haki za watu walio katika nchi huru milele. Ni ZERO BRAINS tu ndiyo wanaweza kukubali haki zao za kikatiba zidhulumiwe na chama cha wahuni na mafisadi.
Usifanishe mambo ya DINI na ujinga anaofanya huyu anayejiita mwanasheria wenu uchwara asiyejua kupembua la kuongea na wananchi. Kubwabwaja kama yuko kijiweni. Mtu mmoja huwezi kuleta sintofaham kwa taifa lenye watu takriban 50milHata watawala wa kipindi kile walipi maliza kumnyanyasa Yesu na kumzika waliweka jiwe kubwa sana juu ya kaburi lake, pia waliweka na walinzi ili asitokee wa kuiba mwili wa Kristo yesu, lakini muda ulipo fika mbi gu zilifunguka, na walinzi wakaona kishindo kikuu na Kristo alitoka kaburini akawaachia shimo. Hivyo itakavyo kuwa kwa wanaojaribu kukandamiza haki kwa sababu ya mamlaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli we minyooMkondya hana vyeti sasa anatumia mgongo wa Lisu kusaka chcheo cha kamanda wa kanda maalum ya Dsm atambue kuwa ICC inakuja na yy atakuwa mshitakiwa namba moja.
Dhuluma gan inayominywa?Wapumbavu wengi wanafikiri kila lenye mwanzo huwa linaendelea,joto la kumuogopa malaika kama alivyotaka sasa linaisha,mijinga inaunga mkono dhuluma,ukandamizaji na kuminya haki kwa dhana ya kikabila tu,hata kama ni upuuzi.
anafosi afanane na LissuMbona umekomaa sana na Lisu mkuu!