Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Kama taarifa za uharifu wamezipata usiku unategemea wasubiri mpaka mchana ili iweje tumia upeo wako vizuri.Ndio wamfate saa saba ya usiku bwana, kwanini wasingekwenda mapema?
Kama taarifa za uharifu wamezipata usiku unategemea wasubiri mpaka mchana ili iweje tumia upeo wako vizuri.Ndio wamfate saa saba ya usiku bwana, kwanini wasingekwenda mapema?
Kasome vizuri katiba ya nchi ili ujue kutofautisha maana ya haki na wajibu.Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.
Au ndo washauza nchi kwa makubaliano ya kuiingiza kwenye vita nn???Mbona valuvalu sana??Au ndo?Mh!HATARI TUPU,MAJANGA WALAH.Mkuu Polisi wanatumika tu kutekeleza matukio ya wakubwa zao, pamoja na hayo wao pia wanastahili lawama. Haya yote yanayoendelea DHAIFU atakuwa anayafahamu hivyo yeye ndio anastahili lawama nyingi zaidi. Nchi iko katika njia panda bila hekima na busara za hali ya juu inaweza kutumbukia kwenye machafuko ya kutisha.
Sasa mbona wanarukana hakuna aliewatuma,mnajua nyie hamko njema kabisa,mnaenda kama mkasi,nchi inaongozwa na kipuuzi.Kama taarifa za uharifu wamezipata usiku unategemea wasubiri mpaka mchana ili iweje tumia upeo wako vizuri.
Kwanza atwambie silaha nzito ni zipi,kama ni SMG ni silaha ya kawaida kwa polisi.Imekaa kiuchochezi zaidi.. "Silaha nzito", usiku wa manane!!
Mleta maada anaweza aisiwe na kosa ila aliyetoa hii mada ndie mwenye matatizo!!
Polisi wanawahaki kutimiza wajibu wao muda wowote kwa mtu yeyote wanayehitaji ushirikiano nae!!
Pili huyo mtoa maada anatumia umbumbu wa raia kuwahadaa juu ya sheria za kiutendaji za polisi pamoja na maswala ya haki za binadamu! Sioni huo unyama anaousema, ni nacho kiona ni kujenga chuki kati ya polisi na raia.
Kukiwa na Intelligence, au mtu akiona unafanya uhalifu, akataarifu polisi, utakamatwa na kuhojiwa bila kuhitaji warrant.
Kwa mfano, ukimbaka mwanamke kwa kumshika matiti mbele ya hadhara, polisi wakatonywa, basi hawahitaji warrant kukukamata.
Nadhani Mbowe anajua kuwa anawindwa, kutokana na msemo wake kuwa ana ushahidi wa video ... he's got to be under surveillance, hilo lazima. Huo wala si udikteta thats just policing, it's normal ni lazima atakuwa spied.
Uzuri wake, ni kwamba security walijua.
I hate your comments.
Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.
Basi mleta post muongo labda katunga habari sisi tutamwaminije kama upande wa pili wanakataa.Sasa mbona wanarukana hakuna aliewatuma,mnajua nyie hamko njema kabisa,mnaenda kama mkasi,nchi inaongozwa na kipuuzi.
Dogo naona umeshiba magimbi unakuja kutupumulia humu,tulia unahangaika kama tumbo la kuhara..Hate it or love it but I won't stop!!!
Good comment man.Hate it or love it but I won't stop!!!
Kamuulize kamanda wenu iyo agenda ya siri wametumwa na Koti au Mwigulu Kamishna Mkuu wa Grean Guard..Basi mleta post muongo labda katunga habari sisi tutamwaminije kama upande wa pili wanakataa.
ccm ni janga la taifa..kiukweli ccm ndio chanzo cha uvunjifu wa amani.
Yule ni kiongozi bwana sio jambazi we wa wpi?
Ujinga ni kile unachosema sio unachofikiria, HAKI ISIYO NA KIKOMO NI UTUMWA, nchi inaendeshwe kwa taratibu na katiba, usiku kumfuata mtu akueleze jambo lolote sio kawaida wala utaratibu wa nchi hii. SASA HARAKA IKO WAPI MBONA WALIPOKUTA HAYUPO HAKUNA IMPACT YOYOTE NI SAWA TU WANGEENDA ASUBUHI KESHO YAKE, kosa ni kwa watu waliofeli kuwapa silaha, tutakomaPolisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.
Kamuulize kamanda wenu iyo agenda ya siri wametumwa na Koti au Mwigulu Kamishna Mkuu wa Grean Guard..