Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.

Mtu mwenye akili ya wastani inayomwezesha kuja humu jamvini kuandika ujumbe wake hatazamiwi kuandika ulichoandika wewe. Polisi ni nani na haki hiyo wanaitoa wapi?Wewe hustahili hata kuitwa --------.
 
Shombo tu za Chama cha domokaya na maaendeleo.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Policcm mtahangaika sana kama tumbo la kipindupindu ila chadema inakua zaidi,dawa yenu ni kubakia humo humo kwenye mahema na mabati
 
Walitaka kumteka kama vile sheikh Faridi kule Zanzibar halafu wambambikizie kesi abaki ndani miaka nena miaka rudi., Chadema changamkeni msipige makelele tuu.
 
Anzisheni jeshi tumechoka kilasiku kulalamika tuu

"To know the enemy is half the victory"
 
Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.

Hawana haki hiyo na si katiba ya taifa la Tanzania labda kama tunaongozwa na rasimu mpya nako sijaona kipengele hicho unless kiwe kimetoka kwenye hansard za bunge kufuatia maagizo yalee ya mwana wa mkulima
 
Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.

Wewe ni huna tofauti na makamasi. Laiti kama ningekuwa nakuja kuoa halafu nikakukuta wewe ni ndugu wa mchumba wangu, hapo ndipo ndugu yako angeachika rasmi.
 
Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.

bt with arrest warrant and time must be taken into consideration......am woundering kama unaweza ukawa na idea ya sheria,otherwise ni uhuru wako wa kikatiba
 
chadema mnaweweseka sana aisee,kila siku hiki, kile kama mbwa koko,chama chenu hakina mvuto tena kimebaki na uzushi tu,tumewachoka sana

Kwani CCM ni chama chako? Wewe ndiye mbwakoko ndani ya CCM, wewe hauna mvuto ndani ya CCM wamekuchoka,kila siku unakuja na hoja hii mara ile uzushi mtupu ili ukubalike "unakufa" wewe haujui....!
 
mbona polisi hawamkamati mwingulu nchemba?.sasa wamkamate mbowe
waone .sisi sio mafala.sasa hivi ni jino kwa kwa jino .nakuombena fanyeni hivyo tena polisi nendeni mkamkamate.Siongei kitu tena.
 
Back
Top Bottom