Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Mbowe ni rafiki mkubwa wa Kikwete!

Haya mengine ni kujitafutia umaarufu wa kisiasa.

N.B: Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU.
 
Kwanza hawa polisi nadhani ni pro_chadema.
Haiwezekani mpaka sasa viongozi waandamizi wa chadema wakawa wako huru mtaani. Sorry ni kwa manufaa ya taifa
 
Polisi wairasimishe kamisheni ya kupambana na CDM, ambayo tunajua inaongozwa na Kamishna Advocate Nyombi...
 
Acha polisi wafanye kazi,kwani yeye ni nani asikamatwe na polisi.

chadema mnaweweseka sana aisee,kila siku hiki, kile kama mbwa koko,chama chenu hakina mvuto tena kimebaki na uzushi tu,tumewachoka sana
 
hii aikubaliki na aiendani na demokrasia yani tunaish kama utawala wa idd amin vile
 
Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.
Khaa!!! wewe! Mh Mbowe ni KUB. Wana namba zake za simu wameshindwa hata kumpigia simu?? Hata kujua yuko wapi?? Hii habari ina utata kama RCO na RPC hawaijui basi hao hawakuwa polisi bali majambazi. Hongera walinzi wa Mh Mbowe :bored:
 
ccm ni janga la taifa..kiukweli ccm ndio chanzo cha uvunjifu wa amani.
 
"Kwa sababu ilikuwa ni giza, hatukujua hicho kitu chenye ncha kali kimerushwa kutokea wapi." Hii ni ripoti ambayo ingetolewa asubuhi.
 
Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.

Kumkamata mtu wakati wowote nyumbani kwake? Upo utaratibu tena wa kipolisi unaotaka wawe na ruhusa maalum ya kufanya hivyo....usiku wa manane kuna ofisa gani wa Polisi wa kuidhinisha hilo zoezi?

Ila watu wenye uelewa wako ndio waliopo madarakani siku hizi....!
 
Mbowe ni mharifu lazima awajibike kwa uharifu wake asifikiri kila kitu ni kirahisi tu anatoa matamko ya hovyo bila hata ya kujua madhara yake.
 
Back
Top Bottom