Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Ila CDM inabidi idili na kikwete sasa...awaeleze maana haiwezekani hajui haya mambo....CDM muwe wakali utani utani huu atakuja kufa mtu itokee machafuko...
 
"Kwa sababu ilikuwa ni giza, hatukujua hicho kitu chenye ncha kali kimerushwa kutokea wapi." Hii ni ripoti ambayo ingetolewa asubuhi.
Mkuu kwa kuongezea ni "kitu kizito, kigimu chenye ncha kali" policcm ni noumar.
 
"Kwa sababu ilikuwa ni giza, hatukujua hicho kitu chenye ncha kali kimerushwa kutokea wapi." Hii ni ripoti ambayo ingetolewa asubuhi.
Mkuu kwa kuongezea ni "kitu kizito, kigumu sana..chenye ncha kali" policcm ni noumar.
 
Ni dhahiri kuwa kamanda Advocate Nyombi ameamua kuwa kada mtiifu na mwaminifu wa ccm kwakuwa kadri siku zinavyokwenda ndivyo tunazidi kushuhudia juhudi za policcm wakiwafuatafuata wanachadema bila sababu za msingi.

Nadhani sasa wanachadema tutambue na tuwe tayari kwakuwa policcm wameanzisha kimyakimya kanda maalum ya kudeal na Chadema. Na mambo kama haya ndiyo yanaongeza chuki za wananchi dhidi ya polisi.
 
Duh sasa mtu kama Mbowe anafanyiwa hayo na sie raia wa kawaida si watatuchukulia mpk wake zetu na tukijifanya kuongea tunafunguliwa mashtaka ya ugaidi.......
 
Ndio wamfate saa saba ya usiku bwana, kwanini wasingekwenda mapema?
 
Mbowe ni mharfi na polisi wanayohaki ya kumkamata mshenzi yoyote na wakati wowote kama atakuwa na kosa.
 
Kwanza hawa polisi nadhani ni pro_chadema.
Haiwezekani mpaka sasa viongozi waandamizi wa chadema wakawa wako huru mtaani. Sorry ni kwa manufaa ya taifa

Labda taifa lako mwenyewe...kwani waziri mkuu aliporuhusu wananchi kupigwa risasi na polisi....alisama na wewe usipigwe risasi? Risasi unaweza ikamkosa mfuasi wa CDM ikakuua wewe ...na polisi bado watasema wewe ni CDM .... ili wakuu wasiwatie hatiani
 
Acha polisi wafanye kazi,kwani yeye ni nani asikamatwe na polisi.

mi nadhani mwenendo huu wa polisi ni tishio kwa amani yetu. wanachochea chuki tena ktk mambo ya hovyo kabisa
 
Hawana haki hiyo na si katiba ya taifa la Tanzania labda kama tunaongozwa na rasimu mpya nako sijaona kipengele hicho unless kiwe kimetoka kwenye hansard za bunge kufuatia maagizo yalee ya mwana wa mkulima
Kukiwa na Intelligence, au mtu akiona unafanya uhalifu, akataarifu polisi, utakamatwa na kuhojiwa bila kuhitaji warrant.
Kwa mfano, ukimbaka mwanamke kwa kumshika matiti mbele ya hadhara, polisi wakatonywa, basi hawahitaji warrant kukukamata.

Nadhani Mbowe anajua kuwa anawindwa, kutokana na msemo wake kuwa ana ushahidi wa video ... he's got to be under surveillance, hilo lazima. Huo wala si udikteta thats just policing, it's normal ni lazima atakuwa spied.

Uzuri wake, ni kwamba security walijua.
 
polisi wanachezea shilingi chooni! Kikwete anabaki anaangalia tu.
 
Kwanza hawa polisi nadhani ni pro_chadema.
Haiwezekani mpaka sasa viongozi waandamizi wa chadema wakawa wako huru mtaani. Sorry ni kwa manufaa ya taifa

Labda taifa lako mwenyewe...kwani waziri mkuu aliporuhusu wananchi kupigwa risasi na polisi....alisema na wewe usipigwe risasi? Risasi inaweza ikamkosa mfuasi wa CDM ikakuua wewe ...na polisi bado watasema wewe ni CDM .... ili wakuu wasiwatie hatiani
 
mbona polisi hawamkamati mwingulu nchemba?.sasa wamkamate mbowe
waone .sisi sio mafala.sasa hivi ni jino kwa kwa jino .nakuombena fanyeni hivyo tena polisi nendeni mkamkamate.Siongei kitu tena.
Yani hawa waganga njaa wa Mambo ya Ndani siwapendi,vilaza shule hamna wamekalia kwenye mahema..
 
Imekaa kiuchochezi zaidi.. "Silaha nzito", usiku wa manane!!

Mleta maada anaweza aisiwe na kosa ila aliyetoa hii mada ndie mwenye matatizo!!
Polisi wanawahaki kutimiza wajibu wao muda wowote kwa mtu yeyote wanayehitaji ushirikiano nae!!

Pili huyo mtoa maada anatumia umbumbu wa raia kuwahadaa juu ya sheria za kiutendaji za polisi pamoja na maswala ya haki za binadamu! Sioni huo unyama anaousema, ni nacho kiona ni kujenga chuki kati ya polisi na raia.
 
Back
Top Bottom