Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 662
Mara nyingi tunamlaumu Kikwete kwa kuwapa vyeo watu ambao wameshindwa ubunge. CHADEMA wamefanya hivyo hivyo kwa Regia Mtema, Regia ni reject Kilombero! Na ndio maana tunataka katiba mpya ipige marufuku ubunge maalum. Mbunge maalum hawezi ku spell neno "aahirishe"?Mkuu, Ubunge wenyewe wa kupewa tu..
Hakuna anachoweza zaidi ya kuleta update za maandamano humu JF..
Ndio maana wabunge makini kama Halima Mdee, huwezi kumkuta anatoa pumba humu JF