Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

Mkuu, Ubunge wenyewe wa kupewa tu..

Hakuna anachoweza zaidi ya kuleta update za maandamano humu JF..

Ndio maana wabunge makini kama Halima Mdee, huwezi kumkuta anatoa pumba humu JF
Mara nyingi tunamlaumu Kikwete kwa kuwapa vyeo watu ambao wameshindwa ubunge. CHADEMA wamefanya hivyo hivyo kwa Regia Mtema, Regia ni reject Kilombero! Na ndio maana tunataka katiba mpya ipige marufuku ubunge maalum. Mbunge maalum hawezi ku spell neno "aahirishe"?
 
Umeona eh! Halafu jamaa kaweza kuingia hapo Central wanapozuiliwa wengine wasiingie. Nalog off

Una matatizo wewe kama jina lako lilivyo!

We unadhani hao wanazuia watu si watu kama mimi na hujui tunafamiana na nani na kifupi kwa kukusaidia kwa akili zako mgando ni kwamba kuna njia kibao za kuingia mahali naweza kuingia hata kama muuza vocha na nikatimiza kusudi langu bila usumbufu wowote.

Kwa kukusaidia na akili zako chafu ni kwamba hakuna sehemu zisizoingilika kama mtu unajua unachokifanya.
 
Mkuu Derimto.

Kadhia yote hii imesabishwa na mtu mmoja mpenda sifa za kitoto kibaya zaidi viongozi wake badala ya kutumia akili wakajiingiza kichwa kichwa.

Sidhani kama ni umaarufu maana alichokisema na kukisimamia ni kauli inayoeleweka na iko wazi kabisa kwa mtu yeyote anayejua nini maana ya uhuru na Demokrasia ya kweli.
 
Ningeshauri huyo prince Charles ahairishe hiyo ziara yake ya Arusha..Aende akatembee Kilombero Wakulima wa Miwa na Mpunga..

Kwani kaja kutembea au kukagua miradi yake mbona asienda maporini watu kibao hawaijui kesho yao
 
Si unajua tena kichwa cha nazi kimeshka hatamu! Yote kheri ila "PEOPLE'S POWER!, kwanza wangempeleka huyo Price huko Tandale, Mtwara akaone maisha halisi ya Mtanzania na aweze kutoa misaada. Tatizo kichwa cha nazi na tena nazi yenyewe ni KOROMA!
 
Mkuu, Ubunge wenyewe wa kupewa tu..

Hakuna anachoweza zaidi ya kuleta update za maandamano humu JF..

Ndio maana wabunge makini kama Halima Mdee, huwezi kumkuta anatoa pumba humu JF
Lakini ili upewe ubunge kuna factor nyingi za kuziangalia, unaweza ukaniambia usalama wa Taifa walitumia factor gani kumpa Kikwete urais.
 
Lakini ili upewe ubunge kuna factor nyingi za kuziangalia, unaweza ukaniambia usalama wa Taifa walitumia factor gani kumpa Kikwete urais.

Kikwete amechaguliwa na wananchi kwa asilimia zaidi ya sitini.
 
Nimetokea maeneo ya Njiro kuja town kupitia Keep-Left ya Impala, kuingia hadi Clock tower (Arusha hotel) hadi CRDB friends corner kuelekea stendi kuu ya mabasi, sikufanikia kuona Police-Traffic hata mmoja!
wanaogopa kusimama barabarani.
Nimekutana na Deffender zaidi ya Tano zenye polisi wenye sillaha nzito nzito, Mbwa, na mabomu ya machozi.
Nikashuka kuingia ATM ya CRDB pale maeneo ya Friends kona, nikakuta maafisa Usalama wa Taifa zaidi ya watatu wakiwa na Com-Sets zao masikioni, na wengine na radio-calls ndogondogo, wakiwa very busy kutoa report!
Kwa kweli hali si shwari hapa Arusha.
Nimepitia hadi Viwanga vya nmc, hakuna yeyote pale! kuna mabaki ya mipira iliyochomwa jana, na kuni ambazo watu waliota jana usiku.
It is real PIPOZ PAWA!
I SUBMIT WAUNGWANA!

Una maana gani hali si shwari hapa Arusha? Tangu jana hali ni shwari sana na polisi wanaendelea kuhakikisha hali hii ya amani inaendelea. Sisi watu wa Arusha tumechoka na vurugu.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom