Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

Wewe Mdudu gani sijui, hatusemi kuMWOmba ila KUMUOMBA.

Sasa hapa nani kabaki uchi? Mtaja funua hadi wakwe zenu.

Muone miguu kama jogoo linawika................
Mbunge gani hujui ku spell neno "aahirishe"? Siku moja utakuja kumwomba Spika aharishe kwenye kikao!
 
Mbunge gani hujui ku spell neno "aahirishe"? Siku moja utakuja kumwomba Spika aharishe kwenye kikao!

Mkuu, Ubunge wenyewe wa kupewa tu..

Hakuna anachoweza zaidi ya kuleta update za maandamano humu JF..

Ndio maana wabunge makini kama Halima Mdee, huwezi kumkuta anatoa pumba humu JF
 
Mkuu, Ubunge wenyewe wa kupewa tu..

Hakuna anachoweza zaidi ya kuleta update za maandamano humu JF..

Ndio maana wabunge makini kama Halima Mdee, huwezi kumkuta anatoa pumba humu JF
hongera mzee naona unajitahidi kujaza pumba ili upate post nyingi
 
huyo mzungu ****** kaja kuangalia migodi yao na kuratibu mambo ya kisenge c unajua katumwa na DAVID CAMEROON
 
tunachohitaji kusikia kutoka huko ni maandamano ya amani tu hatutaki kusikia kesho raia kadhaa wameuawa au kuumizwa
 
Mkuu Derimto.

Kadhia yote hii imesabishwa na mtu mmoja mpenda sifa za kitoto kibaya zaidi viongozi wake badala ya kutumia akili wakajiingiza kichwa kichwa.

Ngongo, Njaa itakuvua nguo mbele ya watoto wako. Acha kujipendekeza hovyo kwa CCM
 
naishauri serikali,means inayoitumia Arusha kuwatuliza wana Chadema,kamwe haita fanikiwa,watafute means nyingine,last time waliuwa na kujeruhi,kama ingelikuwa ni dawa,leo wasinge waona,sasa kama bado wana Chadema wanaendeleza movement zao,serikali iwatimizie matakwa yao,otherwise ni chuki MAISHA yote...
 
Jamani bado hali ni tete mkoani Arusha kuliko inavyodhaniwa na wengi.

Nimeweza kutumia uzoefu wangu na kuingia Police Central kuna ulinzi mkali polisi zaidi ya 70 wenye silaha na wengine wanaingia na kutoka.

Hali ni tete sana hakuna ruhusa mtu kuingia eneo la Police Central kwa namna yoyote ile hata kama una shida gani unazuiliwa getini na askari wenye silaha tayari kwa lolote na kama una shida ya kipolisi unaambiwa nenda kwenye vituo vingine vidogo utahudumiwa huko.

Nimeweza kupenya na kuongea na baadhi ya maofisa waandamizi akiwemo Zuberi mwenyewe ambaye alikuwa ameenea uwanjani akiwapanga mapolisi na kuonekana makini na kila kona kwa umakini na tahadhari kubwa kabisa.

Kwa hali ilivyo hapa kaunta hakuna kazi nyingi kama ilivyo kawaida bali
ni nyimbo za Taifa Shange nderemo na vifijo na vigelele vya wanawake walioko mahabusu huku wakimaliza nyimbo na kunza upya kwa kauli mbiu ya Peoples Power kiasi ambacho hata baadhi ya askari wanaonekana kujaribiwa ila majukumu yanawabana lakini wanaonekana kuhamasika na nyimbo hizo.

Nimetoka na kujaribu kutembea baadhi ya mitaa FFU wanazunguka na mapikipiki na wengine kwa miguu wakiingia kila uchochoro kuangalia kama kuna makundi ya vijana na kuyatawanya na inavyoonekana watu wamenyamaza lakini akili zao bado hazijatulia na watakuja na maamuzi mapya ambayo yanaweza kuigharimu serikali na Amani yetu kwa ujumla.

Kwa kawaida nyimbo zinakawaida ya kujenga hamasa..usishangae watu wakanza kuboa selo....
 
Mbunge gani hujui ku spell neno "aahirishe"? Siku moja utakuja kumwomba Spika aharishe kwenye kikao!

Wewe Magamba hapa sio sehemu ya kujifunza kiswahili ukitaka hilo mtafut Prof Safari,Prof Masamba E.Kezirahabi,Penina Mhando etc watakusaidia kutafasiri zaidi hapa sio wewe kuku sawa eeh!
 
Ningeshauri huyo prince Charles ahairishe hiyo ziara yake ya Arusha..Aende akatembee Kilombero Wakulima wa Miwa na Mpunga..

watu wa Kilombero na Mashoga wapi na wapi? Huku Arusha tutamwimbia wimbo atahadhitia kwa mamake
 
we ni mnafiki kama shangingi la meeda. Unaona wivu yy kupewa ubunge? Na ww vaa shumizi upewe, mwanaume kama binti.
Mkuu, Ubunge wenyewe wa kupewa tu..

Hakuna anachoweza zaidi ya kuleta update za maandamano humu JF..

Ndio maana wabunge makini kama Halima Mdee, huwezi kumkuta anatoa pumba humu JF
 
Back
Top Bottom