kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,011
- 11,942
Mkuu Derimto.
Kadhia yote hii imesabishwa na mtu mmoja mpenda sifa za kitoto kibaya zaidi viongozi wake badala ya kutumia akili wakajiingiza kichwa kichwa.
Hata mimi wamenishangaza sana hawa viongozi,yaani wameingia kwenye mkumbo wa mnafiki mmoja asiye na akili,SERIKALI YOOTE IKO PAMOJA NA KUBERI.