Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

Mkuu Derimto.

Kadhia yote hii imesabishwa na mtu mmoja mpenda sifa za kitoto kibaya zaidi viongozi wake badala ya kutumia akili wakajiingiza kichwa kichwa.
Mkuu nakuashuri uwe una-ignore threads zinazomhusu Lema, zinakushushia sana heshima na kukufanya udharaulike sana

tunajua ana matatizo yake, lakini you are pushing it too far....

tuliza ball, angalia threads nyingine mkuu, mgombea wako alishashindwa, humpendi Lema na uko Arusha... vyatosha mkuu, vyatosha sasa!!!
 
Yako wapi sasa? Wote ndani na watatoka kwa taratibu zilizopo...mtu akatae kutoka mwenyewe halafu abambelezwe kutoka tena na chaos juu...bomboclat f**l...upuuzi mtupu...nyie cdm
 
Ritz' kila post upo tangu asubuhi hv kweli unafanya kazi? Saa ngapi? Halafu tumia akili kidogo jamaa ameandika ametumia uzoefu wake kupenya' wewe unauliza kipuuzi tu ili kukera watu au?.Hv hauon kwamba ni aibu kwa serikali kushindwa kufanya mambo yake kisa mtoto wa malkia? Unajisikiaje unapoambiwa imeshindikana kumtoa Lema kwa sababu anaweza kuhatarisha amani ya Arusha na hvyo kuvuruga ziara ya mtoto wa malkia? Hapo kuna serikali kweli? Jeshi nalo lipo kweli? Inamaana hata usalama wa taifa hauwezi kumzibiti Lema akiwa nje ya hilo gereza?.
Mwenzio ndio yupo kazini hivyo....!
 
kuna wakulima na watu wenye mawazo ya ukulima, angekuwa mkulima kweli tungeona angejikita hususani kusaidia wakulima wadogo kabisa wanaotumia jembe la mkono, hata kuwatembelea tu tungeona kweli uingeleza inajali wananchi hali ya chini kabisa. nchi tajiri kama hiyo inaweza kabisa kusaidia wakulima hawa ambao wanapinda mgongo toka asubuhi hadi jioni kufanya mabadiliko ya kilimo, kwani wanalima kwa shinda bila soko la uhakika la mazao yao.

Ujio huu kwa mtu wa hali ya chini anaona kama jamaa kaja kutalii tu nchini kwetu.

80% ya wananchi wa tanzania ni wakulima tena jembe la mkono, angekuja kujikita kwenye kundi hili ambalo limejaa umaskini na ufukara si kwa sababu ya uvivu hapana ila sera mbovu za chama tawala.

Waingeleza wameitawala nchi hii, lakini tangu tuwaondoe wametusaidia nini kwenye nyanja zifuatazo hizi?
a) Elimu
b) Kilimo - kinachoajiri wananchi karibia 80%
c) Michezo - wao wanapata mabillion ya dola kwenye michezo hasa soka lakini wameshindwa kusaidia hata vipaji vidogo

Badala yake ndiyo wanatuambia tuanze kuoana jinsia moja - HATUTAKI - hawatupi hela.

Hivi walitutawala kwa sababu zipi? Kama tuliwalazimisha kutuacha huru na nchi, unafikiri wanafurahia kutusaidia? Hiyo ni ndoto, na ninaimani watapenda zaidi kama tukisema tumeshindwa kujiendesha tunaomba waje kututawala.
 
Polisi wengine wanalalamika hawajalala toka juzi na wako kazini full time. Nao wamechoka na huu mkoa. dawa ni kumuondoa huyo OCD ZUBERI. Kama IGP unasoma hii post, muondoa Zuberi hapa Arusha na mkoa huu utatulia. Hizi ni taarifa za ki intelijensia
 
Kwahiyo leo Arusha kazi zimesimama, ama shughuli zinaendelea kama kawaida?

Sasa polisi wameshika doria NMC, na akija Prince kutoka kwa David Cameron atalindwa na nani? ama safari yake imesitishwa?
 
Mkuu Derimto.

Kadhia yote hii imesabishwa na mtu mmoja mpenda sifa za kitoto kibaya zaidi viongozi wake badala ya kutumia akili wakajiingiza kichwa kichwa.
That is how the song of politics is sang!!
 
Aghairi au aahirishe, hiyo ulioandika wewe umekosea kidogo, usione vibaya, wamenizowea hapa kutembeza kifimbo kwa uchafuzi wa lugha.
Usijali,sifanyi mtihani wa kisw hapa,lkn pamoja na kukosea bado nimeeleweka.Lengo langu lilikuwa ni kueleweka na sio kuandika kisw fasaha.Hata hivyo nashukuru kwa kunifuatilia.
 
Mkuu fanyeni kazi ya kutujuza,maana wengine tulio mbali na Arusha kazi hazifanyiki,tuna waza nini kinachoendelea huko,tuna hitaji sana taarifa na kama mkiweza mtupe na picha,je hali ya viongozi ikoje?je kuna raia kama wangapi wafuasi wa CDM wamekakamatwa?
 
Mkuu nakuashuri uwe una-ignore threads zinazomhusu Lema, zinakushushia sana heshima na kukufanya udharaulike sana

tunajua ana matatizo yake, lakini you are pushing it too far....

tuliza ball, angalia threads nyingine mkuu, mgombea wako alishashindwa, humpendi Lema na uko Arusha... vyatosha mkuu, vyatosha sasa!!!

sidhani kama atakuelewa kwakuwa furaha yake ni pale anaposikia ama kuona jambo lenye mwelekeo wa kumbughudhi ama kumshusha hadhi Lema kadri ya mtazamo wake. Usishangae hapa yeye anamuona Lema kama mtu anayetafuta sifa za kijinga lakini anasahau kwamba ni wananchi wangapi wanaonyanyaswa na serikali hii na Lema anajaribu kuwasemea.
sina shaka kwamba anakesha akimuombea mabaya mh. Leama!
 
Usijali,sifanyi mtihani wa kisw hapa,lkn pamoja na kukosea bado nimeeleweka.Lengo langu lilikuwa ni kueleweka na sio kuandika kisw fasaha.Hata hivyo nashukuru kwa kunifuatilia.

usishangae kwa nn anakufuatilia huyu.. Analipwa kwa uwepo wake hapa huyo kwa hiyo asikuumize sana
 
Polisi wengine wanalalamika hawajalala toka juzi na wako kazini full time. Nao wamechoka na huu mkoa. dawa ni kumuondoa huyo OCD ZUBERI. Kama IGP unasoma hii post, muondoa Zuberi hapa Arusha na mkoa huu utatulia. Hizi ni taarifa za ki intelijensia

Hapo ndo patamu, police nao ni binadamu, watafikia sehemu watagawanyika!!
 
Polisi wengine wanalalamika hawajalala toka juzi na wako kazini full time. Nao wamechoka na huu mkoa. dawa ni kumuondoa huyo OCD ZUBERI. Kama IGP unasoma hii post, muondoa Zuberi hapa Arusha na mkoa huu utatulia. Hizi ni taarifa za ki intelijensia

wamekubali kutumika kijinga.....
 
Dr.Slaa, Lissu pamoja na makamanda wengine ndio wanapandishwa kizimbani hivi sasa na kila mmoja anataka kujua watasomewa shiaka gani na itakuwaje , stay tuned.
 
Mkuu Derimto.

Kadhia yote hii imesabishwa na mtu mmoja mpenda sifa za kitoto kibaya zaidi viongozi wake badala ya kutumia akili wakajiingiza kichwa kichwa.

Lema kwenda gerezani ilikuwa mbinu ambayo jana ccm walitakiwa waipangue kwa kumkubalia dhamana. Sasa wao sisiem wanajidai vichwa maji wakati watu wamechoka? Utaratibu mbofu na utawala usio wa sheria ndio chanzo! Asilaumie Lema
 
Mkuu Derimto.

Kadhia yote hii imesabishwa na mtu mmoja mpenda sifa za kitoto kibaya zaidi viongozi wake badala ya kutumia akili wakajiingiza kichwa kichwa.
Umeona eh! Halafu jamaa kaweza kuingia hapo Central wanapozuiliwa wengine wasiingie. Nalog off
 
Back
Top Bottom