Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

Mpaka kieleweke safari hii,tumechoshwa na dhuluma hizi.Viva Dr Slaa na Viongozi wote wa Chadema bila kuwasahau WAFUASI WOOTE WA CHADEMA.
 
njaa mbaya!

Ukombozi unatafutwa kwa ghalama yoyote ile mi nikifa kwa kupigania haki naamini shemeji yako wa Kwa mtogole atafaidi matunda ya Uhuru wa ukweli toka kwa mkoloni mweusi anae tutesa hivi sasa
 
Ningeshauri huyo prince Charles ahairishe hiyo ziara yake ya Arusha..Aende akatembee Kilombero Wakulima wa Miwa na Mpunga..

Aghairi au aahirishe, hiyo ulioandika wewe umekosea kidogo, usione vibaya, wamenizowea hapa kutembeza kifimbo kwa uchafuzi wa lugha.
 
ha ha ha, hajui kilimo huyo Regia, amekulia katika jumba la dhahabu kila kona.

Una hakika ndugu? You dont know prince Charles.

The Prince believes
strongly in the clear
advantages of organic
farming.

In 1986, The Prince
decided to convert the
Duchy Home Farm to a
completely organic system to demonstrate the
environmental and
commercial benefits.

Twenty years later, Home Farm is not only a successful and viable working farm, but is a flagship for the benefits of an organic, sustainable form of agriculture.....

Read more :: princeofwales.gov.uk/personalprofiles/residences/highgrove/homefarm/
 
Hawa wanasiasa wa Cdm wanahusudu sana kuwa na mi-kesi. Sijui wanaona ni sifa?
Hata mTundu Lisu anajifanya hajui kuwa kufanya mkusanyiko wa kijinga kama ule wa NMC ni kosa? au anafanya kazi kwa jazba?

THIS TIME IMEKULA KWAO?
 
Ukisikia kuchokoza nyuki walio mzingani ni kumshika slaa na lisu bila sababu!Kiongozi mmoja wa chadema kukamatwa ni hasara kubwa!!!Naamuru waachiwe mara moja!!!Oohoo
 
Ukisikia kuchokoza nyuki walio mzingani ni kumshika slaa na lisu bila sababu!Kiongozi mmoja wa chadema kukamatwa ni hasara kubwa!!!Naamuru waachiwe mara moja!!!Oohoo

Nyuki wako wapi? Hakuna nyuki hapa, wamebaki kunguni tu.
 
Ukombozi unatafutwa kwa ghalama yoyote ile mi nikifa kwa kupigania haki naamini shemeji yako wa Kwa mtogole atafaidi matunda ya Uhuru wa ukweli toka kwa mkoloni mweusi anae tutesa hivi sasa

chapombe njaa yakuuma kanywe uji kuondoa uchovu wa kilevi kababie
 
Mi naona bora aje kwetu huku Lindi na Mtwara sijui kwa nini wanampeleka maeneo mazuri.
Jana ilitakiwa wampeleke Tandale au Tandika ajione hali halisi ya Mtanzania sio kumpakia kwenye Panton lililo pakwa rangi siku moja kabla ya kulipanda

Mkuu hii ya pantoni imeniacha hoi sana! hahahahah! hii nchi full mazingaombwe!
 
Una hakika ndugu? You dont know prince Charles.

Read more :: princeofwales.gov.uk/personalprofiles/residences/highgrove/homefarm/
kuna wakulima na watu wenye mawazo ya ukulima, angekuwa mkulima kweli tungeona angejikita hususani kusaidia wakulima wadogo kabisa wanaotumia jembe la mkono, hata kuwatembelea tu tungeona kweli uingeleza inajali wananchi hali ya chini kabisa. nchi tajiri kama hiyo inaweza kabisa kusaidia wakulima hawa ambao wanapinda mgongo toka asubuhi hadi jioni kufanya mabadiliko ya kilimo, kwani wanalima kwa shinda bila soko la uhakika la mazao yao.

Ujio huu kwa mtu wa hali ya chini anaona kama jamaa kaja kutalii tu nchini kwetu.

80% ya wananchi wa tanzania ni wakulima tena jembe la mkono, angekuja kujikita kwenye kundi hili ambalo limejaa umaskini na ufukara si kwa sababu ya uvivu hapana ila sera mbovu za chama tawala.

Waingeleza wameitawala nchi hii, lakini tangu tuwaondoe wametusaidia nini kwenye nyanja zifuatazo hizi?
a) Elimu
b) Kilimo - kinachoajiri wananchi karibia 80%
c) Michezo - wao wanapata mabillion ya dola kwenye michezo hasa soka lakini wameshindwa kusaidia hata vipaji vidogo

Badala yake ndiyo wanatuambia tuanze kuoana jinsia moja - HATUTAKI - hawatupi hela.
 
mkapa alikuwa raisi ingawa naye alikuwa na mapungufu yake lakini nchi haikuwa ya ajabu kiasi hiki.
 
Siamini kama haya maneno yanatoka kwa mh. mbunge!

.
Huamini? Ni kwa sababu huna uwezo wa kusoma katikati ya mistari. Wageni wazito lazima wapelekwe Arusha amboko kuna upinzani. Ni kwa nini hawanaga tabia ya kuwapeleka mtwara, lindi, Morogoro na mikoa mingine iliyo sisiem damu damu?
.
 
Tukubali tu kwamba, vurugu za silaha ni kutuaminisha kuwa hatumiwi na conservative eti ameyafanya hayo wakti mtoto wa mfalme yupo nchini hehehe wivuuuuuuuuuuuuuu haha ngojea niongeze wine mie.........
 
Police bongo ni wazembe sana hajui wanacho kifanya sheria ndogo pia hawazijui wanashindwa kuelewa kuwa wao ni walinzi na raia na mali zao wao wanapambana na raia badala ya wahalifu ccm kweli jamaa ni vihiyo
 
.
Huamini? Ni kwa sababu huna uwezo wa kusoma katikati ya mistari. Wageni wazito lazima wapelekwe Arusha amboko kuna upinzani. Ni kwa nini hawanaga tabia ya kuwapeleka mtwara, lindi, Morogoro na mikoa mingine iliyo sisiem damu damu?
.

Bora wewe mbunge umeona hao hawana malengo mazuri na Arusha, hehehe ukawaitia jimboni mwako..... safi hama chama cha wehu hicho. Eti dr slaa rais, rais gani anayevunja sheria kwa kuchochochewa na usalama wa taifa lissu hahaha umepotea kwenye ramani ya siasa
 
Hawa wanasiasa wa Cdm wanahusudu sana kuwa na mi-kesi. Sijui wanaona ni sifa?
Hata mTundu Lisu anajifanya hajui kuwa kufanya mkusanyiko wa kijinga kama ule wa NMC ni kosa? au anafanya kazi kwa jazba?

THIS TIME IMEKULA KWAO?

Kaka dont put the cart before the horse. Kesi ni matokeo ya viongozi kupinga unyanyasaji na dhulma. We stand by you wapiganaji,we shall overcome.
 
Hawa wanasiasa wa Cdm wanahusudu sana kuwa na mi-kesi. Sijui wanaona ni sifa?
Hata mTundu Lisu anajifanya hajui kuwa kufanya mkusanyiko wa kijinga kama ule wa NMC ni kosa? au anafanya kazi kwa jazba?

THIS TIME IMEKULA KWAO?
hawa wana siasa wa CCM walizoea sana kumpumzika baada ya chaguzi, sasa wamebanwa ki sawa sawa, sasa hivi wameanza kusoma hadi miswaada na mikataba kabla ya kusign tu kama walivyokuwa wamezoea. Hongera CDM - hasipumzike hawa, waliapa kuwatumikia wananchi kwa hiyo lazima watekeleze wajibu wao, wasipoweza basi walipueni kwetu wananchi kutumia maandamano na mikutano ya hadhara -- thats is the only way.
 
Back
Top Bottom