Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,210
- 27,268
Hakuna dhulma yoyote hapo, ni lazima ulipe fine.Wapi nilipoomba kusaidiwa? Mtalii wa ndani niko vizuri ninakusanya yanayojiri mitaani nimeanza na hili mengine yanakuhusu. Wewe unaongelea kusaidiwa? Nyambafu!
Hizi zinazoongelewa hapa ni tozo za dhuluma dhidi ya walipa kodi. Majahili wachache wamekaa mahali kumhujumu mama dhidi ya wananchi.
Mshindwe na mtepete kabisa!
Kama observer nilikaa pale hata zaidi ya muda ambao ilinipasa na kuongea na watu kadhaa wakiwamo wahanga na hata wasafiri wa kawaida kabisa.
Hata gari jipya lililo toka leo kiwandani bado hasa hasa kama ni bus au fuso lisingefuzu kupita bila ya hiyo unayoiita kodi ambayo mama Samia kaiita sahihi kabisa:
"Kodi ya dhuluma asiyoitaka!"
Halipo jina sahihi la kuita upuuzi huu zaidi ya kuelewa qualify kama "Insanity."
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kama hutaki hama nchi
Traffic kwa moyo mkunjufu naomba muongeze speed kwa huyu jamaa