Polisi apigwa mapanga, SMG yanyakuliwa

Polisi apigwa mapanga, SMG yanyakuliwa

Mafunzo ya polisi Yana mapungufu makubwa, haiwezekani kila wakati wakawa wanaporwa Silaa na mbaya zaidi intelejensia yao imeshindwa kudhibiti uporaji wa Silaa, wajitazame upya.

Wanafundishwaga kudhibiti maandamano tu kwa hilo 100%
 
Hapa naona ni UKAWA kwenda mbele na RAIA wema.
Maana post moja ya pili siasa.Uwezo wetu wa kufikiria ndio huo.

Polisi ataendelea kuwa polisi tu,na wao ni binaadam na timmings pia zipo.Mbona wanajeshi hata wale wenye weledi wa hali ya juu wa Marekani wanaingia kwenye mitego ya kitoto huko Iraq.

Polisi ataendelea kuwa polisi na heshima yake ipo pale pale.
 
Wewe unashabikia jambazi kumiliki silaha ??? Hujawaona wakiwa kazini ndio maana. Kumbuka Jambazi sio binadamu na wakizirusha kwenye umati wa watu hawataangalia kama wanakuua wewe au ndugu yako

Mbona hata polisi wanarusha bila kuangalia wanapiga jambazi wa raia wa kawaida. Angalia habari ya wafanyabiashara wa madini na Zombe, angalia habari ya Mwangosi. Kwa hivo polisi hawana tofauti na jambazi. Sasa hawa polisi wanalipwa mishahara kwa kodi zetu wakati majambazi wala hatugharimii chochote. Si heri majambazi sasa!
 
Hapa kila kitu SIASA hata ambaye hajui SIASA anajifanya anajua siasa, anayeshabikia kitendo kama hicho huyo sio mwema,kitendo cha kuumia kwa askari tunatakiwa tuguswe,na tukikemee...... usichangie hapa ili kufurahisha mtu hapa.Kuumia kwa askar ni sawa ameumia ndugu yangu hivyo naumia sana.Watanzania tuchukie uharifu jamani.
 
Kwenye kusaidia raia legelege na kwenye rushwa na kupiga RAIA wasio na silaha wako strong sana tu.Huo ndo ukweli hamna uongo hapo. Wangekua wanafanya kazi zao kwa haki wasinge kua wana chukiwa na kila RAIA.

kuna watu hupenda kulalamika kwa niaba ya wengine a thing which leading to fallacy.

hebu izungumzie nafsi yako, lini polisi imekufanyia ubaya? kama hujafanyiwa baya na askar iweje uichukie? tumevurugwa na wanasiasa, ambao wao kuichukia polisi ni credit kwa wananchi.

pole sana soja, umeumia kazini maana ni rahisi kwa adui kukufanyia ambush kimya kimya lkn ni ngumu kukufanyia hujuma ukijua. pole sana
 
Hapa naona ni UKAWA kwenda mbele na RAIA wema.
Maana post moja ya pili siasa.Uwezo wetu wa kufikiria ndio huo.

Polisi ataendelea kuwa polisi tu,na wao ni binaadam na timmings pia zipo.Mbona wanajeshi hata wale wenye weledi wa hali ya juu wa Marekani wanaingia kwenye mitego ya kitoto huko Iraq.

Polisi ataendelea kuwa polisi na heshima yake ipo pale pale.

kumbe kuna kipindi unakuwa binadam?
 
Wewe unashabikia jambazi kumiliki silaha ??? Hujawaona wakiwa kazini ndio maana. Kumbuka Jambazi sio binadamu na wakizirusha kwenye umati wa watu hawataangalia kama wanakuua wewe au ndugu yako

Achana naye huyo, anadhani kushabikia ujinga kutamsaidia au kumpa kiki.
 
Kweli aisee, na inaonekana wenaowachukia Polisi wengi wao ni CHA KUFIA NINI. Yaani hana cha kupoteza hata nchi ikipinduliwa leo. Wanatamani vita/machafuko/ujambazi labda watatokea huko.

Hadi muda huu naandika haya ni kwasababu kuna watu wanakesha kazini. Tusiangalie mapungufu tu, hata mafanikio ni muhimu kuyasema.

Kula kulala huyo, hajui kua jeshi la polisi ni lawaTanzania pamoja na yeye.
 
Imetokea jana kama saa mbili usiku maeneo ya yombo lelini,nimepita mida ya saa nne na nusu usiku nikakuta habari hiyo na landcruser la police limepaki,Leo asubuhi wakati natoka maeneo hayo polisi kibao wapo eneo la tukio.

Mwenye habari zaidi atujuze hasa hali ya polisi aliyepigwa panga na kunyang'anywa smg!!

= relini
 
Hawa mapolisi wachunguzwe wasije wakawa wanaziuza hizi SMG, bahati mbaya wengine wakati wanaagana kukutana na wanunuzi, hao wanunuzi wanaamua kuwapiga au kuwaua kukwepa kuwalipa pesa na kuchukua hizo silaha.
 
Jeshi letu la polisi lipo imara sana kwani pamoja na mishahara midogo na vitendea kazi duni, kuuawa na kujeruhiwa lakini bado hawakati tamaa kuwapenda na kuwatumikia raia.
 
Hawa mapolisi wachunguzwe wasije wakawa wanaziuza hizi SMG, bahati mbaya wengine wakati wanaagana kukutana na wanunuzi, hao wanunuzi wanaamua kuwaua kukwepa kuwalipa na kuchukua hizo silaha.

kidogo umefikiria na umeitendea JF vema. a home of great thinkers. maana si rahisi kuwa na askar wote wakawa wazalendo. mifumo ya uajiri bado haina uwezo wa kuwatambua watu na nia zao.

mfano yule dogo mchaga wa garisa, kwa mwonekano wake, upole na ukimya wake ungeweza kumwamini na kumpa nafasi yoyote ya maana ila kumbe fikra zake ni shida tupu.
 
Wewe unashabikia jambazi kumiliki silaha ??? Hujawaona wakiwa kazini ndio maana. Kumbuka Jambazi sio binadamu na wakizirusha kwenye umati wa watu hawataangalia kama wanakuua wewe au ndugu yako

Yote ni matokeo ya kile tunachokiita. Amani
 
Sasa ni wakati muhafaka wa Chagonja kuhojiwa anajuwa kinachoendelea.
 
Kiswahili ni lugha yetu ya Taifa, ni vyema tukakienzi.

Hujamsikia Sugu bungeni kuhusu Kiswahili?

sikusikia ila nimesoma hotuba yake by skimming na hoja ya kiswahili nimeiona. Amemponda JK kuoenda kidhungu hata mahali pa kuongea lugha yetu adhim. amemsifia rais wa makonde kwa kuhutubia kwa lugha ya taifa lake bungen tz
 
Hapa kila kitu SIASA hata ambaye hajui SIASA anajifanya anajua siasa, anayeshabikia kitendo kama hicho huyo sio mwema,kitendo cha kuumia kwa askari tunatakiwa tuguswe,na tukikemee...... usichangie hapa ili kufurahisha mtu hapa.Kuumia kwa askar ni sawa ameumia ndugu yangu hivyo naumia sana.Watanzania tuchukie uharifu jamani.

Wewe hujui ulisemalo, tatizo la polisi wa Tazara ni ulevi pale kuna bar kibao kazi yao ulevi.

Hivi unajuwa kwa nini kuna kipindi reli ya TAZARA ilikosa mizigo? Wizi wa mizigo wateja wakaamuwa kusafirisha kws barabara na wizi wa mafuta ndio usiseme wakishamaliza kuiba polisi na watu wao ndio wanajifanya kupiga mabunduki yao. Shenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom