nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,901
- 14,611
waambieni serikali wafungue machinjioimetokea jana kama saa mbili usiku maeneo ya yombo lelini,nimepita mida ya saa nne na nusu usiku nikakuta habari hiyo na landcruser la police limepaki,leo asubuhi wakati natoka maeneo hayo polisi kibao wapo eneo la tukio.
Mwenye habari zaidi atujuze hasa hali ya polisi aliyepigwa panga na kunyang'anywa smg!!
mmeyafunga. Watu waende wapi sasa?