Police Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtanzania haswa, Nov 8, 2011.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mi nahisi hawa polisi wa Arusha wamechoka na manyanyaso wanayofanyiwa na wakuu kwa kucheleweshewa mishahara yao, mishahara midogo na kutumikishwa kama mbwa kwa maslai ya kisiasa ya watu wachache, then sasa wanapanga kuleta machafuko Arusha kwa kisingizio cha siasa za lema na CHADEMA. Mwema fanya uchunguzi kwa kamanda wako wa Arusha usidanganywe kuwa ni kwa sababu ya lema na Chadema pekee hata hawa polisi wako wamo inawezekana...CHUKUA HATUA. ni mawazo yangu tu...kama yanakuboa yapotezee tu
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Leo alfajiri ktk purukushani za mabomu pale NMC kuna polisi wawili ambao hata kwa sura siwajui ila chakushangaza gafla baada ya mabomu kurindima FFU mmoja alitukuta tumejibanza (tulikua watatu) katika migomba na ukuta wa Arusha sport near arusha secondary na alikua kashika mtutu ila wenzake walivyomuuliza kwa mbali kama kuna watuhumiwa eneo hilo yeye aliwajibu kuwa hakuna mtu na akatuambia tusipite njia ya msikiti wa baniani kwani kuna polisi wenzake wengi sana ivyo tuelekee na njia ya town na tukiulizwa na askari wenzake tuwajibu kuwa tunaelekea sokoni na hatukua NMC, baaada ya hatua chache maeneo ya geti la shule ya msingi uhuru gafla mbele yetu akatokea FFU mwingine akiwa kavaa yale mavazi yao ya kazi na kashika mtutu akavua elemet yake akatuambia tukimbie kwa kupitia njia ya NSSF tuvuke mto then tutakuwa salama bila kutiwa nguvuni na askari wenzake.Askari wote hawa wawili hatuwafahamu wala hawatufahamu na wala hatukuwaomba msaada huu walioutoa pia hawakutuomba rushwa na hatukuwapa rushwa. Tulitimua kwa kupitia njia zile kama tulivyoelekezwa na polisi hao tusiowajua na tulifanikiwa kufika nyumbani salama na kupumzika kwa uchovu wa kukesha pale NMC.
  Nashindwa kuelewa askari hawa waliopewa order kutukamata wakeshaji hapo NMC inakuwaje wanashiriki kututorosha tena ukizangatia askari hao wametoa msaada huo bila kuombwa wala kulaghaiwa na sisi wakeshaji.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  habari za kutunga utazijua tuuuuuuuuuu mikwaruzo kibao
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kwa mara nyengine tena polisi wanawasikitikia waTZ kwa jinsi tulivyo waoga.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  polisi walikuwa hawawatafuti wafuasi walikuwa wanatafuta viongozi wa mkusanyiko ule na ndio maana aliwaambia wapite waende zao Mbowe akakimbia kwa kasi ya ajabu kama mfuasi akafanikiwa kupenya
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wanaotaka kuleta vurugu sio polisi ni chadema na baadhi ya vijana wa kijiweni wa Arusha
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mtazamo wako ni wa kisiasa sio wa kipolisi
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hapana sio habari za kutunga Mwanajamii! angalia kuna Thready iko hapa na nimeinukuu kwenye gazeti la Mwananchi ya leo tarehe 8/11/2011 polisi pia wanataka amani iwepo Arusha nao pia wamechoka kutumikishwa na serikali ya CCM kila kukicha na hawalipwi marupurupu ya kukaa barabarani usiku na mchana kuwanyima haki ya msingi wanachama wa Chadema pamoja na mbunge wao!
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  pole kwa utunzi wako.
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Mbowe aliongozwa na askari wasio watiifu kupitia barabara ya vumbi mpaka fire station akapanda gari akaelekea njia ya uzunguni kupitia daraja dogo la mto themi near by arusha day secondary.Askari hawa hawaridhiki na maisha ya kuishi katika vyumba vya mabati mpaka wamefikia hatua ya kukiuka amri ya Zuberi na kushiriki kuwatorosha baadhi ya wakeshaji tuliokua pale NMC.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nina suti tano, chagua hotel ya maana nikaku-cameroon maana naona masaburi yana kuwasha..
   
 12. S

  Shomy . I JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kama dhamira yenu ni kukesha, kilichowakimbiza ni nini? 2mia akili yako pia ht km ni chache, zinatosha kujua kuwa cdm wanawapoteza. Kiongoz wenu kakimbia nyie mtabaki vp. Acheni UJINGAAAA!!! Sema nimetumwa maana kila aliye 'opposite' huwa mnasema katumwa. Mbona ninyi huwa hamsemi km mme2mwa? Nawasilisha hoja.
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu hapo magamba ndo wanawashikiza ila mwisho wake upo na mtu lazima ataaibika
   
 14. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  huna hoja ila masaburi yako yanakuwasha
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Rep Power : 0
   
 16. L

  Lua JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inshort polic wenyewe wamechoka na wanachosubili ni cc kufanya non-stop demonstr..........na wao kujiunga nasi kuipinga s.kali hii ya kifedhui ya jk, kwani hata wao wanalalamika juu ya maslai yao, mfano ile posho yao ya laki na nusu iliyotangazwa na waziri na badala yake wanalipwa kilo. Na bado uonevu mwingine.
   
 17. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kwa mtu mchambuzi maneno yako ni mazito sana. Maana yake muda simrefu sana baadhi ya maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama watagoma kutumwa kuwanyanyasa watu ambao wao na jamii ya watanzania masikini wanaona ni watetezi wao.
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mbona kama unaweweseka sasa?
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu hawa police inaonyesha wanafanya haya mambo kwakushinikizwa na magamba na hawajaipendelea hiyo hali bali kiapo chao ndo kinawabana
   
 20. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mjomba walikuwa wanawaondoa kiakili eneo la tukio baada ya kuwakamata waliokusudia kuwakamata, wala sio kwamba walikuwa wanawasaidia kihivyo unavyofikiria. poleni sana
   
Loading...