Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,160
- 11,228
Utakatishaji fedha huwa unafanyikaje??Yaani mtu anapiga hela halafu anasafisha kwa kujenga na kununua gari?
Kweli Ndio maana Wapumbavu hawaishi
Zipo njia nyingi sanaUtakatishaji fedha huwa unafanyikaje??
Mbona Iko wazi tu Kwa maelezo ht la saba anaelewaYaani mtu anapiga hela halafu anasafisha kwa kujenga na kununua gari?
Kweli Ndio maana Wapumbavu hawaishi
Ni sawaZipo njia nyingi sana
Wapo wanaowapa wauzaji wa bidhaa za bei kubwa zenye pato kubwa kama Maduka ya dhahabu, madini mengine.
Na kwa huku hata kwa wauzaji wa saa ghali wapo wanaoweka huko
Kuna wakati msako ulifanyika nje walikamata maduka yakiwa na mifuko ya hela ambazo sio zao bali zimewekwa na watakatishaji.
Sasa mtu Umenunua magari 50 hayakuzalishii chochote hapo umewekeza au
Nafikiri labda hawajui po kuzipeleka Ndio maana unakuta Waafrika wengi huweka majumbani tu mpaka wanapokamatwa
Watakatishaji wengine huwa wanaziweka kwenye visiwa vya nje au nchi ambazo ni Tax free
Ila kila mmoja ana maana yake
Wewe ungezipata ungeziweka wapi?
Kweli ila wakati mwingine huwa wanatapeliwa sanaNi sawa
Hp kaongelea saa, na vitu vya thamani km ulivyorleza hapo...etc
Pia kujenga hayo majumba ya kifahari ambayo ni apartments....
DuhKweli ila wakati mwingine huwa wanatapeliwa sana
Hapo inakuwa mwizi kaibiwa
Huwezi kuandika kila kitu kwa jina lako
Maana unaweza kukuta unabanwa au utawala kubadilika.
Ukiwa na mabolioni ya mchongo hata hazina raha kwa kweli
Lakini ndio maisha kila mmoja na lwake au sio
Unamaanisha saa kama hii hapa👇Ni sawa
Hp kaongelea saa, na vitu vya thamani km ulivyorleza hapo...etc
Pia kujenga hayo majumba ya kifahari ambayo ni apartments....