Polepole usingekubali kuachia ubunge, Rais hana mamlaka ya kukung'oa

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,133
Binafsi nimekuja kujua ndani ya nchi yetu wenye misimamo isiyoteteleka hakuna labda wamejificha. Kitendo cha aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa mh. Polepole kukubali kuwa balozi na kuacha nafasi yenye malupulupu ya kutosha ni kuendekeza uoga na kutawaza matako ya watawala.

Binafsi mheshimiwa Polepole hakutakiwa kukubali kuachia ngazi na asingetolewa ubunge kwa kuwa ukomo wa ubunge upo kikatiba hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa unless akose sifa na vipengele vyote vya ukomo wa ubunge vimeorodheshwa kikatiba.

Cha ajabu nilichokuja kushangaa Rais kumteua Vuai Nahodha kuwa mbunge kabla ya Polepole kutoa taarifa either kakubali ubalozi au laa, je Polepole angekataa ubalozi Vuai Nahodha angekuwa Nani?.

Usishangae mlima Kilimanjaro kuhamia Dar es Salaam ila nitashangaa sana siku nikisikia CCM wamebalika kifikra.
 
Binafsi nimekuja kujua ndani ya nchi yetu wenye misimamo isiyoteteleka hakuna labda wamejificha. Kitendo cha aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa mh. Polepole kukubali kuwa balozi na kuacha nafasi yenye malupulupu ya kutosha ni kuendekeza uoga na kutawaza matako ya watawala.

Binafsi mheshimiwa polepole hakutakiwa kukubali kuachia ngazi na asingetolewa ubunge kwa kuwa ukomo wa ubunge upo kikatiba hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa unless akose sifa na vipengele vyote vya ukomo wa ubunge vimeolozeshwa kikatiba.

Cha ajabu nilichokuja kushangaa Rais kumteua Vuwai Nahodha kuwa mbunge kabla ya polepole kutoa taarifa either kakubali ubalozi au laa, je polepole angekataa ubalozi vuai Nahodha angekuwa Nani?. Usishangae mlima kilimanjaro kuhamia Dar Es Salaam ila nitashangaa sana siku nikisikia ccm wamebalika kifikra.
Ndani ya Bongo katiba ni kitabu chenye thamani ndogo kuzidi daftari la mwandiko la STD 1B
 
Binafsi nimekuja kujua ndani ya nchi yetu wenye misimamo isiyoteteleka hakuna labda wamejificha. Kitendo cha aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa mh. Polepole kukubali kuwa balozi na kuacha nafasi yenye malupulupu ya kutosha ni kuendekeza uoga na kutawaza matako ya watawala.

Binafsi mheshimiwa polepole hakutakiwa kukubali kuachia ngazi na asingetolewa ubunge kwa kuwa ukomo wa ubunge upo kikatiba hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa unless akose sifa na vipengele vyote vya ukomo wa ubunge vimeolozeshwa kikatiba.

Cha ajabu nilichokuja kushangaa Rais kumteua Vuwai Nahodha kuwa mbunge kabla ya polepole kutoa taarifa either kakubali ubalozi au laa, je polepole angekataa ubalozi vuai Nahodha angekuwa Nani?. Usishangae mlima kilimanjaro kuhamia Dar Es Salaam ila nitashangaa sana siku nikisikia ccm wamebalika kifikra.
Nani amekudanganya kuwa rais hawezi kumuondoa mbunge aliyemteua?
 
K

Msingi mojawapo ya chama cha mapinduzi ni kuwa ni mwiko kwa mwanachama wake kukataa mamlaka anayopewa/agizwa na raisi..kukataa uteuzi wa raisi ni utovu wa nidhamu kwa CCM Polepole angedinda angekutana na rungu la kuvuliwa uanachama hadi hapo ingekuwa kwisha habari yake
 
We unajuwa nguvu ya Taasisi ya uraisi au unakuja kubwabwanya tu hapa???? Shukuru Mungu hauko kwenye chance yoyote ya kukuteua. Hapa kwetu Raisi ni

1. Amiri Jeshi Mkuu yani haya majeshi yote ya ulinzi na usalama yana obey kwake as a single person
2. Raisi ni Head of State yaani ndiyo Raia namba moja mwenye aridhi yoooote iliyoko nchini
3. Raisi ni Mwenyekiti wa Chama tawala ambapo kina wawakilishi mpaka vijijini yaani mpaka wenyeviti wa shina wako chini yake
4. Raisi ni mkuu wa Executive yaani uongozi wote wa Serikali niwa kwake kuanzia Mtendaji wa kijiji mpaka Waziri Mkuu.

Sasa sijui ulitake Pole pole amkazie nani hapo ndugu yangu, eti apewe nafasi na Raisi halafu yeye avimbe akomae na Ubunge.
 
K

Msingi mojawapo ya chama cha mapinduzi ni kuwa ni mwiko kwa mwanachama wake kukataa mamlaka anayopewa/agizwa na raisi..kukataa uteuzi wa raisi ni utovu wa nidhamu kwa CCM Polepole angedinda angekutana na rungu la kuvuliwa uanachama hadi hapo ingekuwa kwisha habari yake
Mwanamasumbwi kutoka America Joe Louis Barrow aliwahi kusema "Everybody wants to go to heaven but no one wants to die", hata hivyo mwanalege kutoka nchini Jamaica Peter Tosh alisema 'everyone speaks of peace, no one speaks of rights". Kwenye kila Jema unalopambana kubali maumivu, kuvuliwa uanachama ni bora zaidi kuliko kuwa mtumwa wa kisiasa kuwapigia magoti watawala. Mimi binafsi hata ukiweka bunduki kifuani siwezi badili msimamo wangu mpaka haki kwa kila raia itakapopatina ikiwemo uhuru wa maoni na kuruhusu mitazamo tofauti na ya watawala.
 
Back
Top Bottom