kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,416
Achana nae huyo ,fanya shuhuri zako zingineUmeelezwa kwamba "huingii" Malawi kama hauna chanjo.Siyo wanaoishi Malawi.Sijui umeelewa?
Achana nae huyo ,fanya shuhuri zako zingineUmeelezwa kwamba "huingii" Malawi kama hauna chanjo.Siyo wanaoishi Malawi.Sijui umeelewa?
Hata akidanganya kama atapata cheti na kutokukuja kutudhibitishia kuwa alitumia ujanza ,sisi tutajua kachanjaTanzania kila kitu kinawezekana!
Mpaka sasa pole pole anavyeo viwili ubalozi pamoja na ubunge, maana hakuna sehemu inayoonesha pole pole kujiuzuru ubungeBinafsi nimekuja kujua ndani ya nchi yetu wenye misimamo isiyoteteleka hakuna labda wamejificha. Kitendo cha aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa mh. Polepole kukubali kuwa balozi na kuacha nafasi yenye malupulupu ya kutosha ni kuendekeza uoga na kutawaza matako ya watawala.
Binafsi mheshimiwa Polepole hakutakiwa kukubali kuachia ngazi na asingetolewa ubunge kwa kuwa ukomo wa ubunge upo kikatiba hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa unless akose sifa na vipengele vyote vya ukomo wa ubunge vimeorodheshwa kikatiba.
Cha ajabu nilichokuja kushangaa Rais kumteua Vuai Nahodha kuwa mbunge kabla ya Polepole kutoa taarifa either kakubali ubalozi au laa, je Polepole angekataa ubalozi Vuai Nahodha angekuwa Nani?.
Usishangae mlima Kilimanjaro kuhamia Dar es Salaam ila nitashangaa sana siku nikisikia CCM wamebalika kifikra.
Tangu lini Kosa likawa Sababu ?Amvue uanachama kwa Kosa lipi
Sasa utamfukuzisha mtu bila Kosa ilihali bado anasifa za kuwa kiongozi kwa mda huoTangu lini Kosa likawa Sababu ?
Raisi ni Taasisi. Anapofanya kosa haukumiwi kama mimi.Rais ni mtu kama wewe, anakosea pia
Nguvu zao zipo kisheria au kwa mdomo tuMaagizo kutoka juu hua yana nguvu sana...
Kisheria, midomo yao ni sheria....Nguvu zao zipo kisheria au kwa mdomo tu
Sio kweli, unaongea kwa hisia tuKisheria, midomo yao ni sheria....
Hapana, sheria ndoina nguvu sio mtuMaagizo kutoka juu hua yana nguvu sana...
Umetumia akili yako yote hapa kuwaza??Binafsi nimekuja kujua ndani ya nchi yetu wenye misimamo isiyoteteleka hakuna labda wamejificha. Kitendo cha aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa mh. Polepole kukubali kuwa balozi na kuacha nafasi yenye malupulupu ya kutosha ni kuendekeza uoga na kutawaza matako ya watawala.
Binafsi mheshimiwa Polepole hakutakiwa kukubali kuachia ngazi na asingetolewa ubunge kwa kuwa ukomo wa ubunge upo kikatiba hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa unless akose sifa na vipengele vyote vya ukomo wa ubunge vimeorodheshwa kikatiba.
Cha ajabu nilichokuja kushangaa Rais kumteua Vuai Nahodha kuwa mbunge kabla ya Polepole kutoa taarifa either kakubali ubalozi au laa, je Polepole angekataa ubalozi Vuai Nahodha angekuwa Nani?.
Usishangae mlima Kilimanjaro kuhamia Dar es Salaam ila nitashangaa sana siku nikisikia CCM wamebalika kifikra.
Kukataa uteuzi, hujui ni kosa.Wamtoe uanachama kwani ana Kosa gani???
Kifungu kipi cha sheria kinasema hivyoKukataa uteuzi, hujui ni kosa.
Kwani job yupo mtaa huu,mbona kimya hivyoK
Kwani Jobu alikua na kosa gani hadi wakamvua uspika?
Muulize job analijua hilo..Kifupi usijaribu kudhalilisha mamlaka na madaraka ya RAIS hata siku moja