Polepole usingekubali kuachia ubunge, Rais hana mamlaka ya kukung'oa

Polepole usingekubali kuachia ubunge, Rais hana mamlaka ya kukung'oa

Rais ni mtu kama wewe, anakosea pia
Rais sio mtu,ni taasisi japo kuna mmoja aliufanya u-rais ukawa mtu yaani jeshi la mtu mmoja na ndio maana kila siku alikuwa anasema u-rais ni mgumu.Kutaka ugumu wa u-rais ni wewe tu ila ukiwaamini wasaidizi wako kama the president SSH mambo yanaenda vizuri kama kawa
 
Binafsi nimekuja kujua ndani ya nchi yetu wenye misimamo isiyoteteleka hakuna labda wamejificha. Kitendo cha aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa mh. Polepole kukubali kuwa balozi na kuacha nafasi yenye malupulupu ya kutosha ni kuendekeza uoga na kutawaza matako ya watawala.

Binafsi mheshimiwa Polepole hakutakiwa kukubali kuachia ngazi na asingetolewa ubunge kwa kuwa ukomo wa ubunge upo kikatiba hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa unless akose sifa na vipengele vyote vya ukomo wa ubunge vimeorodheshwa kikatiba.

Cha ajabu nilichokuja kushangaa Rais kumteua Vuai Nahodha kuwa mbunge kabla ya Polepole kutoa taarifa either kakubali ubalozi au laa, je Polepole angekataa ubalozi Vuai Nahodha angekuwa Nani?.

Usishangae mlima Kilimanjaro kuhamia Dar es Salaam ila nitashangaa sana siku nikisikia CCM wamebalika kifikra.
Alishakubal hTa kabla ya kutangazwa. Ndugu watu wanaangalia maisha yao ya baadaye.. ni ngumu kukataa ndugu. Bora nusu shar kuliko Shari kamili...
 
Back
Top Bottom