ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,922
- 3,912
Sina mengi Sana Wana JF
Bandiko langu ni kumsihi ndugu yetu Kwanza atubu waliyofanya na Magufuli ya kinyume na katiba.
Pili hadi sasa hivi press zake si kitu Kwa CCM, uliahidi mama asipokusikia maboya yatafanya kazi yake. Kwa sasa press zako si kitu kabisa. Chagua moja kukaa kimya au maboya yafanye kazi yake yaliyotengenezewa.